secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Baninyo hutaipata sababu dinyos nimeshawakomesha.Naomba niepuke baninyo 😂
Baninyo hutaipata sababu dinyos nimeshawakomesha.Naomba niepuke baninyo 😂
Nichek dm dada wewe Wala usijihis mpweke we ni mtu huwez kubak na sononoNi dada wa miaka 45
Nimepanga
Sijaolewa
Ni mfanyabiashara ndogondogo
Niko jijini Dar Es Salaam
Nitashukuru sana.
Nina miaka 50 nichekiNi dada wa miaka 45
Nimepanga
Sijaolewa
Ni mfanyabiashara ndogondogo
Niko jijini Dar Es Salaam
Nitashukuru sana.
Lazima waunganishe vikojoleo hao 😂haha jana kasema haolewi leo anataka rafiki
Nimesikitika sana!
hahahahh kachat na mama sio mbaya kumsalimia mara moja moja bhana😁😁😁45 umri wa mama yangu kabisa halafu unajiita dada...
aisee, nimechoka.
Ngoja kukii na akitivu wakuone 😂Baninyo hutaipata sababu dinyos nimeshawakomesha.
Sasa hivi nina urafiki na bosi wao Maksense melody hivyo wananiogopa kama ukomaNgoja kukii na akitivu wakuone 😂
Unaona umekosea kuandika jina la boss ni maxence utapata baninyo ya maisha maninaa 😂 😂Sasa hivi nina urafiki na bosi wao Maksense melody hivyo wananiogopa kama ukoma
Nimeliandika kama linavyotamkwaUnaona umekosea kuandika jina la boss ni maxence utapata baninyo ya maisha maninaa 😂 😂
Ina faida nyingi na nzuri sana kwa dunia hii yenye hekaheka nyingi..!!Acha hivyo bibie, sasa hiyo tabia yako inafaida gani.
Ashuo 😂Nimeliandika kama linavyotamkwa
Maisha ya online ni kukaa kimkakati sanaSikilizeni vijana, humu jf tunatumia fake I'd. Ili umnase mtu Ambae anapost vitu vya ndani ndani mbinu kama hizi hua zinatumika.
Kuweni makini na watu kama Hawa wapo kazini.
Ni hivyo!Ashuo 😂