Natafuta Kaka au Dada wa hiyari wa kuchat nae nje ya Jamii Forums

Umewaongelea wanawake wote as if unawajua wote.
Anyway kumhudumuoa mwanamke sio kufuja hela, utakulaje chakula ambacho hujakinunua?
Kwani mwanamke yeye hakuhitajii wewe linapofika swala la sex? Au yeye anajitosheleza?

Acheni kuwapaisha sana wanawake mtapigwa na kitu kizito.

Mwanamke anaehudumiwa ni aliyeolewa tu.
 
Kwani mwanamke yeye hakuhitajii wewe linapofika swala ya sex? Au yeye anajitosheleza?

Acheni kuwapaisha sana wanawake mtapigwa na kitu kizito.

Mwanamke anaehudumiwa ni aliyeolewa tu.
Tuliza akili unap quote mtu na kusema lolote.
Mimi niliongelea kuhudumia mwanamke, wewe ukapinga, sasa hapo kwenye njano umeongelea nini? Akiolewa anakuwa si mwanamke?
 
Anakuwa mkeo na yupo katika miliki yako, ww endelea kuweka kambi kwa michepuko upanguswe kila kitu na hata huyo mke pia unahudumia ndani ya uwezo wako pasina kujisahau mwenyewe.
 
Michepuko umesema wewe.
Mimi nimeongelea kumtunza mwanamke.
Inaonekana bado unajitafuta na unataka kila mtu aishi kwa mawazo yako.
 
Sijaiona mahali ulikokosea
Unao uhuru wa kupata unachokihitaji bila kuvunja Sheria za Inchi yako.Maisha Yana mambo mengi sana na Siri ya mtu aijua mwenyewe.Kuna mtu alisema life starts at 40,kumbe kwako bado ni asubuhi tu.Kazi ma dawa
Ni dada wa miaka 45
Nimepanga
Sijaolewa
Ni mfanyabiashara ndogondogo
Niko jijini Dar Es Salaam
Nitashukuru sana.
 
Sijaiona mahali ulikokosea
Unao uhuru wa kupata unachokihitaji bila kuvunja Sheria za Inchi yako.Maisha Yana mambo mengi sana na Siri ya mtu aijua mwenyewe.Kuna mtu alisema life starts at 40,kumbe kwako bado ni asubuhi tu.Kazi ma dawa
Asante.
Nakupenda
 
Write your reply...naomba kuelimishwa kama miaka 45 ni mdada! uzee unaanzia miaka mingapi?
 
Back
Top Bottom