Natafuta Kaka au Dada wa hiyari wa kuchat nae nje ya Jamii Forums

Natafuta Kaka au Dada wa hiyari wa kuchat nae nje ya Jamii Forums

Hujui pesa au uchumi wako ndio uhai wako?

Hata kama pesa hutozikwa nazo kwa namna moja au nyengine hutumika kuwaacha watoto wako katika hali nzuri ya kimaisha kwa maisha yao watakayoishi hapa duniani( kuzifuja hela ulizowaachia ni juu yao).

Mwanaume tunza kibunda chako na uchumi wako huo ni uhai wako .

Huoni usipokuwa na hela unahaha kama mbwa aliekosa maji akiwa jangwani?😂
Wanawake hawana shukrani.... Wekeza hela yako kwa familia yako bila ya kujisahau mwenyewe.

Final uzeeni
Umewaongelea wanawake wote as if unawajua wote.
Anyway kumhudumuoa mwanamke sio kufuja hela, utakulaje chakula ambacho hujakinunua?
 
Ni dada wa miaka 45
Nimepanga
Sijaolewa
Ni mfanyabiashara ndogondogo
Niko jijini Dar Es Salaam
Nitashukuru sana.
Male 46 nipo tegeta kibaoni
Natafuta lishangazi kama wewe.
Nimevutiwa na upaja wako.
Plz note mie nasaka ngono na sio mapenzi. Nikikuta kenge usimind wee niite mie mbwa sitamind
Karibu long wikend tegeta kibaoni tuenjoy
 
Sikilizeni vijana, humu jf tunatumia fake I'd. Ili umnase mtu Ambae anapost vitu vya ndani ndani mbinu kama hizi hua zinatumika.
Kuweni makini na watu kama Hawa wapo kazini.
Kweli kabisa.
 
Back
Top Bottom