Jieleze kwanza wewe n nani? Unafanya nn? Una miaka mingapi? Umeolewa au la,Niko jijini Dar Es Salaam
Nitashukuru sana.
MshangaziNi dada wa miaka 45
Nimepanga
Sijaolewa
Ni mfanyabiashara ndogondogo
Niko jijini Dar Es Salaam
Nitashukuru sana.
Mkuu mimi niko tayari lakini kumbuka kuwa umenizidi umri.Ni dada wa miaka 45
Nimepanga
Sijaolewa
Ni mfanyabiashara ndogondogo
Niko jijini Dar Es Salaam
Nitashukuru sana.
Hujui pesa au uchumi wako ndio uhai wako?Mkuu unatafuta pesa za nini?
Utazikwa nazo?
Ng'ombe hazeeki maini siyo?Kula mbususu wewe
Kwa historia yake aliyoeleza kwenye uzi wake haistaajabishi mkuu, mtu kuacha asili yake huwa ngumu sana hata akiacha vijitabia hubaki, ishu sio mental case hii tusiwasumbue mirembe bure