Natafuta kampani

Natafuta kampani

Last edited by a moderator:
uliwahi hivyo hapa?? nina mashaka na wewe! Madame B, Mtambuzi, watu8, Kipaji Halisi, @bisuu, amu, KakaKiiza na wengineo, nisaidieni kumpa msiri wangu kampani. nipo kwa mama leo, hakika ningemsindikiza! gfsonwin nimesikitika kukosa hii! Kaizer naye aliniambie yupo mtwara anachimba gesi, najua angekuwepo angekupa tu kampani mamito! ila jf ndio kwenyewew, utapata tu mtu! shansarie, DaJane na manshiroo mpo kwa umoja wenu??
yaani wewe kwanza unaniudh sana siku hizi.
na kampani nimegari kabisa nitaenda alone tuu
 
Kwa jinsi unavyoandika posts zako inaonekana kabisa the person who is married to you, is the luckiest man in the world. I would say you are the best wife material here.
hahahhhahahah!!!!!!!!!!!!
ukafikiri nataka mume khaaa!!!
 
Mh, huu nahisi kama ni mtego vile.....!

Una bahati niko Karagwe, ningejilipua, potelea mbali mama Ngina akimaindi............LOL
 
duh mumeo ana taarifa na hii thread?
 
Haya jamani leo natafuta wa kutoka nae kwenda Miss Tanzania beauty contest.

Sijali sanaa jinsia mimi awe jinsia yyte ile, lakini ajilipie tiket mwenyewe na awe na uwezo wa kujihudumia like vinywaji nk. Mie nahitaj kampani tuuu mle ndani nisiboreke kwa kukosa wa kupia nae stori hata mkiwa wengi ni poa tu manake mime nataka nipate kampani tukitoka twaweza kutafuta kijiwe tukaruka mziki kidogo.

kama uko tayari nijibu hapa hapa kwenye hii post

Hili bonge la chance, kulikosa ni kujishusha utu mwanaume!
Sasa sikia, mimi nitakugharamia kila kitu kuanzia kunywa hadi kula hadi mafuta ya gari(km una gari), najua tiketi umeshalipia tayari ila nitakurefund usijali! Ila sasa fanya hv plz nikopeshe hela kidogo then tutaongea!
Thank you sana!
 
Kwa jinsi unavyoandika posts zako inaonekana kabisa the person who is married to you, is the luckiest man in the world. I would say you are the best wife material here.

Thank you mkuu, nashukuru sana! Am seeing myself the most blessed man under the sun! Thank you again!
 
uliwahi hivyo hapa?? nina mashaka na wewe! Madame B, Mtambuzi, watu8, Kipaji Halisi, @bisuu, amu, KakaKiiza na wengineo, nisaidieni kumpa msiri wangu kampani. nipo kwa mama leo, hakika ningemsindikiza! gfsonwin nimesikitika kukosa hii! Kaizer naye aliniambie yupo mtwara anachimba gesi, najua angekuwepo angekupa tu kampani mamito! ila jf ndio kwenyewew, utapata tu mtu! shansarie, DaJane na manshiroo mpo kwa umoja wenu??

Mke wa ujana wangu, tuna nini mimi na wewe? Limbwata nlokuletea uniwekee linakaribia kwisha?
 
Last edited by a moderator:
Angalia usije ukatoka na mtu akakudondoshea kidonge kwenye kinywaji chako ukaokotwa mabwepande baada ya siku mbili ukiwa uchi wa nyama hujitambui...HATARIIIIIII!!!
 
uliwahi hivyo hapa?? nina mashaka na wewe! Madame B, Mtambuzi, watu8, Kipaji Halisi, @bisuu, amu, KakaKiiza na wengineo, nisaidieni kumpa msiri wangu kampani. nipo kwa mama leo, hakika ningemsindikiza! gfsonwin nimesikitika kukosa hii! Kaizer naye aliniambie yupo mtwara anachimba gesi, najua angekuwepo angekupa tu kampani mamito! ila jf ndio kwenyewew, utapata tu mtu! shansarie, DaJane na manshiroo mpo kwa umoja wenu??

mi sataweza best niko na mume wangu kiwatengu amenibanahatari siwezi toka
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom