uliwahi hivyo hapa?? nina mashaka na wewe!
Madame B,
Mtambuzi,
watu8,
Kipaji Halisi, @bisuu,
amu,
KakaKiiza na wengineo, nisaidieni kumpa msiri wangu kampani. nipo kwa mama leo, hakika ningemsindikiza!
gfsonwin nimesikitika kukosa hii!
Kaizer naye aliniambie yupo mtwara anachimba gesi, najua angekuwepo angekupa tu kampani mamito! ila jf ndio kwenyewew, utapata tu mtu!
shansarie,
DaJane na
manshiroo mpo kwa umoja wenu??