Natafuta kampuni zinatoa internship Arusha

Natafuta kampuni zinatoa internship Arusha

Kiswahili kinapoteza ladha kila siku ,na wanaoitwa wasomi ndio wanaoongoza kukiharibu
 
tiv akeee, jifunze kuandika vizuri kwenye mambo ya serious
 
Tafuta auditing firms mbona zipo nyingi tu, ukishindwa kbs Kuna kiwanda flan cha 🍺🍺🍺sema hela watakayokupa ni futuhi tupu ila chupa mbili uhakika kila siku
 
Wakuu habarini, mimi nimehitimu chuo mwaka jana, Accounting and finance, nauliza sehemu apa Arusha wanatoa nafasi za internship.
Nilivyosoma neno "zenye zinatoa" nikaona hapa hamna kitu ni zero kabisa
 
Kiswahili kinapoteza ladha kila siku ,na wanaoitwa wasomi ndio wanaoongoza kukiharibu
Usifikiri wote tunaweza kuwa na kiswahili kilicho nyoka....

Kama wewe umebahatika kukijua hongera sana. Binafsi sikuona hayo makosa, nimegundua kumbe na mimi siwezi kiswahili vizuri.
Asante walimu wa kiswahili.🙏🙏😆
 
Back
Top Bottom