Steveeeeee
New Member
- Mar 12, 2024
- 1
- 3
Akawaskize wadudu ataelewa neno moja uyu kati ya maneno miaKwa Arusha mbona Kiswahili amepatia sana tuu Mkuuu
Bwana mdogo fulsa zisake mwenyeweWakuu habarini, mimi nimehitimu chuo mwaka jana, Accounting and finance, nauliza sehemu apa Arusha wanatoa nafasi za internship.
Mpe stevee nafasi afanye intern boss kuandika atajifunza huko hukotiv akeee, jifunze kuandika vizuri kwenye mambo ya serious
Nilivyosoma neno "zenye zinatoa" nikaona hapa hamna kitu ni zero kabisaWakuu habarini, mimi nimehitimu chuo mwaka jana, Accounting and finance, nauliza sehemu apa Arusha wanatoa nafasi za internship.
Kama Boss umempitisha tayari mimi ni nani nimuwekee uzibe Tiv akee, Nimepokea amriMpe stevee nafasi afanye intern boss kuandika atajifunza huko huko
Usifikiri wote tunaweza kuwa na kiswahili kilicho nyoka....Kiswahili kinapoteza ladha kila siku ,na wanaoitwa wasomi ndio wanaoongoza kukiharibu