- Thread starter
- #21
Mkuu mi ni ME.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mi ni ME.
Watu tunatofautiana, wengine mihogo wanaona umasikini wakati wengine tunapenda kweli na chai.Tunapitia mengi then umepambana we siku mambo yamegoma umepata buku 2 unamua umeshinde njaa,unatembea kwa mguu toka mjini hadi home unaitunza buku 2 walau ufike home ununue Mihogo mpike na uji uangalie kesho.
Unafika home unampa wife buku 2 afanye maarifa anaishia kuku vunja moyo kwa matusi na kashfa na buku 2 yako.
Kesho hata nguvu ya kupambana utaiotoa wapi.
Baraka na laana kwa mume utoka kwa mwanamke.
Hivyo hivyo kwa dagaa na mboga za majani.Watu tunatofautiana, wengine mihogo wanaona umasikini wakati wengine tunapenda kweli na chai.
Hata kuupata huo kwa siku unashukuru, Ila MUNGU ni mwema anatupa uhai na nguvu ya kuendelea kupabana japo mambo bado ni magumu yani kila siku ni afadhali ya Jana.Hivyo hivyo kwa dagaa na mboga za majani.
Kwako unakula kwa hamu ila mwingine ndo msosi tegemezi daily!!.
Upo ifakara maeneo gani ndugu...?Bado sijafanikiwa kupata kazi ndugu zangu, vibarua imekuwa ni changamoto kupata. Nipo ifakara mjini, Kwa mwenye uhitaji wa kibarua kwa kazi yoyote halali nipo tayari.