Jackson QUECA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2024
- 245
- 632
Mwalimu pole kwa changamoto za kazi. Ila jifunze kuandika vizuri.Nikijana mchapakazi,mwenye hofu ya MUNGU,pia ni mwaminifu,Elimu yangu na stashahada(diploma) secondary education(physics, biology),kwa upande wa VETA kama nikipata sponsor hata sasa, nipo teyali kwenda hila kwasasa, Mimi ndio Baba Mimi ndio Mama,hiii ni thread ya pili naomba msahada wenu 🙏.
Mkuu napambana hivyo hivyo nipate hata ya chakulaHapo dar kazi zipo nyingi kama hauchagui kazi kweli , kwa hiyo kiufupi haujawa seriously na kufanya kazi lukuki zilizojazana hapo dar , huwa nikisikia mtu anatafuta kazi ndani ya mji mkubwa kama dar nashangaa sana.
Ahsante mkuu 🙏Mwalimu pole kwa changamoto za kazi. Ila jifunze kuandika vizuri.
Hila =ila*
Teyali=Tayari*
Msahada =msaada*
Tafute pesa ya mbegu na trekta nikupe shamba ukalime huko morogoro baada ya misimu miwili utakua umepata kianzio.Mkuu napambana hivyo hivyo nipate hata ya chakula
Ahsante ndiyo natafuta mkuu nikipata, ntakutafuta morogoro pande za wapi hupo, nilikuwa nahishi pande za Mazibwi roadTafute pesa ya mbegu na trekta nikupe shamba ukalime huko morogoro baada ya misimu miwili utakua umepata kianzio.
Mgeta mvomeroAhsante ndiyo natafuta mkuu nikipata, ntakutafuta morogoro pande za wapi hupo, nilikuwa nahishi pande za Mazibwi road
Mkuu mtaji changamoto Mimi mtoto wa mkulima so najuwa hustle zote za jembe.Njoo tupige jembe hapa ruvu darajani
Majaliwa Stadium ana ukurasa X na Insta mfuate PM umwambie yamoyoni na umwambie kabisa ukimaliza akupe mtaji ufungue Workshop maana bila hivyo utaendelea kusota mtaani bila kazi bila ajirakwa upande wa VETA kama nikipata sponsor hata sasa
Ahsante mkuu kwa wazo 👍Majaliwa Stadium ana ukurasa X na Insta mfuate PM umwambie yamoyoni na umwambie kabisa ukimaliza akupe mtaji ufungue Workshop maana bila hivyo utaendelea kusota mtaani bila kazi bila ajira
Mpee connection basi hata ya kazi moja tu katika hizo nyingi unazozisemaHapo dar kazi zipo nyingi kama hauchagui kazi kweli , kwa hiyo kiufupi haujawa seriously na kufanya kazi lukuki zilizojazana hapo dar , huwa nikisikia mtu anatafuta kazi ndani ya mji mkubwa kama dar nashangaa sana.
Sio lazima apewe connection,kuna mambo anatakiwa atoke mbele mwenyewe kusaka mchakato....Mpee connection basi hata ya kazi moja tu katika hizo nyingi unazozisema
Nmeshampa mkuuMpee connection basi hata ya kazi moja tu katika hizo nyingi unazozisema
Mkuu naweza pata msaada juu ya hili?Tafute pesa ya mbegu na trekta nikupe shamba ukalime huko morogoro baada ya misimu miwili utakua umepata kianzio.
Nimeshaongea na Mtoa mada mkuuMkuu naweza pata msaada juu ya hili?