Natafuta kazi au kibarua chochote, nipo Ubungo, Dar es Salaam

Natafuta kazi au kibarua chochote, nipo Ubungo, Dar es Salaam

Jackson QUECA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2024
Posts
245
Reaction score
632
Nikijana mchapakazi, mwenye hofu ya MUNGU, pia ni mwaminifu, Elimu yangu na stashahada(diploma) secondary education(physics, biology),kwa upande wa VETA kama nikipata sponsor hata sasa, nipo tayari kwenda ila kwa sasa, Mimi ndio Baba Mimi ndio Mama🙏.
 
Hapo dar kazi zipo nyingi kama hauchagui kazi kweli , kwa hiyo kiufupi haujawa seriously na kufanya kazi lukuki zilizojazana hapo dar , huwa nikisikia mtu anatafuta kazi ndani ya mji mkubwa kama dar nashangaa sana.
 
Nikijana mchapakazi,mwenye hofu ya MUNGU,pia ni mwaminifu,Elimu yangu na stashahada(diploma) secondary education(physics, biology),kwa upande wa VETA kama nikipata sponsor hata sasa, nipo teyali kwenda hila kwasasa, Mimi ndio Baba Mimi ndio Mama,hiii ni thread ya pili naomba msahada wenu 🙏.
Mwalimu pole kwa changamoto za kazi. Ila jifunze kuandika vizuri.

Hila =ila*
Teyali=Tayari*
Msahada =msaada*
 
kwa upande wa VETA kama nikipata sponsor hata sasa
Majaliwa Stadium ana ukurasa X na Insta mfuate PM umwambie yamoyoni na umwambie kabisa ukimaliza akupe mtaji ufungue Workshop maana bila hivyo utaendelea kusota mtaani bila kazi bila ajira
 
Majaliwa Stadium ana ukurasa X na Insta mfuate PM umwambie yamoyoni na umwambie kabisa ukimaliza akupe mtaji ufungue Workshop maana bila hivyo utaendelea kusota mtaani bila kazi bila ajira
Ahsante mkuu kwa wazo 👍
 
Hapo dar kazi zipo nyingi kama hauchagui kazi kweli , kwa hiyo kiufupi haujawa seriously na kufanya kazi lukuki zilizojazana hapo dar , huwa nikisikia mtu anatafuta kazi ndani ya mji mkubwa kama dar nashangaa sana.
Mpee connection basi hata ya kazi moja tu katika hizo nyingi unazozisema
 
Back
Top Bottom