Habari Zenu Ndugu Zangu wa Jamii Forums,
Mimi Ni Kijana Mwenye Umri wa Miaka 28
Naishi Chanika Dar es salaam,
Ninachangamoto Ya Kutafuta Ajira Ndugu zangu
Elimu Yangu Ni Kidato Cha Nne Ngazi Ya cheti
Lakini Nina Professional Ya Kufanya Kazi Yoyote Inayuhusu Maswala ya Accountant (Uhasibu)
Nimefanya Kazi ya Uhasibu Katika Kampuni ya Wa Wahindi Upanga Kwa Mda Wa Miaka 8
Changamoto kidogo zilitokea zimepelekea kusimamishwa kazi hiyo Ndugu zangu wa Jamii Forums
Mwenye Connection yoyote ya kazi Naomba anisaidie
Afike Dm Yangu kwa mawasiliano zaidi