Natafuta kazi dar

Umesahau kulog in kwenye account uliyoanzishia uzi

Aisee! Mtu mmoja una id ya kike na ya kiume?πŸ˜₯
Hahahaha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hahahaha
 
Nataka kukupa kazi lkn interview yako ni,nina kuku wanyama 10 tafuta mteja bei 8000 tu .Ukifaulu hilo nakupa kaz ,thnafuga na untafuta wateja
 
Jf sio sehemu ya kuchukulia watu serious, imagine huyu munira alishaleta Uzi huku ana uzoefu wa miaka 8 kuagiza vitu nje, mtu unaweza kua na kimtaji chako ukazama dm ukaambulia machozi
Udhoefu wa biashara usikufanye ukaacha Kutaka Kazi ya ziada kaka kama Ukiona Mambo hayaendi sawa unajiongeza tu usigande mahali kumoja
 
Nataka kukupa kazi lkn interview yako ni,nina kuku wanyama 10 tafuta mteja bei 8000 tu .Ukifaulu hilo nakupa kaz ,thnafuga na untafuta wateja
Uje Dm weka Location na Delivery ipoje na Huduma zako zikoje nipe details za kutosha
 
unanilenga mimi wew πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚acha zako bwan,,sisi tutapotezana humu humu jf
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Daaah nimecheka sana nyie humu ndani kuna watu hovyo sana aiseeeee πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

Ms R na wewe usije fanya mambo ya ajabu humu sawa πŸ˜‚πŸ₯ΊπŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…