Natafuta kazi dar

Natafuta kazi dar

Tofautisha kati ya kuskia utamu na kusika uroda...
Tofautisha tuu hilo kiss na kusonyaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ushawaka mvinyo wewe
 
Yaani ku comment hapa imetokea mie utanikuta kwenye simulizi sana.
Sio mchangiaji najitahidi ku stay away from trouble.
Si ndo kama hvi unavutika vutika kuja kwa ephen πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nipo na ice hapa hata sielewi naona maluwe luwe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tafuta uzi mwingine tukakichafueπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£ sema mm situmii kilevi chochote lakini naweza act ulevi zaid ya mlevi
 
Nimeamini aisee!
Nilikua nasikia tu humu mtu ana id ya kike na ya kiume ni hatari sana
Zipo za kutosha....tena nyingi ni wanaume ,wanatumia majina ya kike.
Na ukiwakuta kwenye uzi wanachangia utasema ni wanawake

Inashangaza kwa kweli.
 
Hakuna sababu ya kunifanya nipigwe ban
Kugombana siwezi! Mtu huyo atagombana yeye mimi kimya
Name calling siwezi kumuita mtu jina lake jukwaani
Kuna Ban za ajabu humu...
Mwenzako kapewa Ban kisa kaweka emoj nyingi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tafuta uzi mwingine tukakichafueπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£ sema mm situmii kilevi chochote lakini naweza act ulevi zaid ya mlevi
Takufundisha kidogo kidgo πŸ€—πŸ€—πŸ€—πŸ€—
 
Kuna Ban za ajabu humu...
Mwenzako kapewa Ban kisa kaweka emoj nyingi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nimecheka sanaaaπŸ˜‚ nikajiuliza hawa mods vipi
Ebu ninyamaze nisipewe kufuri mie
 
Ephen namkubali Uzi wake wa Bakabaka Kuruta niliupenda mie nagonga sana like natoa reaction kuliko ku comment
Hapo Ban ishakukosa aiseee πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜
 
Back
Top Bottom