Natafuta kazi halali, Niko tiyari ndani ya jiji la Arusha kufanya kazi

Natafuta kazi halali, Niko tiyari ndani ya jiji la Arusha kufanya kazi

KOF Believer

New Member
Joined
Sep 18, 2026
Posts
3
Reaction score
9
Samahani ndugu ZANGU, Mm ni mwanafunzi wa chuo Cha uhasibu Arusha, njiro natafuta kazi Kwa ndugu ZANGU mlioko humu ndani.

Nafanya hivi Kwa sababu Mimi nasoma Naingia mwaka wa pili but napitia changamoto mbalimbali Kwa maana Kila kitu ni Mimi najitegemea hapo chuo. Ko kama watanzania walioko ndani ya Arusha naomba kazi ili iweze kuniboost kwenye kifedha ili nimalize masomo yangu salama na

Natafuta kazi halali, Niko tiyari ndani ya jiji la Arusha kufanya kazi
 
Back
Top Bottom