Natafuta kazi halali ya usiku, nipo Dar es Salaam

255Capacity

Member
Joined
Jun 6, 2021
Posts
25
Reaction score
19
Habari Wana Jf

Mimi ni kijana na umri wa miaka 24, MALE, makazi yangu kwa sasa nipo Kigamboni Dar es Salaam Tanzania.

Natafuta Kazi yoyote ikiwemo usaidizi, data entry, customer care, receptionist & ,casinos, ambayo naweza kufanya kwa muda wa usiku, au nyingine yoyote nje ya nilizopendekeza.

Kwa upande wa elimu nimesoma mpaka form six, Niko na nyaraka muhimu ikiwemo cheti cha kuzaliwa, O level & Advanced Certificate.

Ni mwaminifu na nina tabia njema. Pia napenda kujifunza zaidi nje ya uwezo niliokuw nao.

Nina ujuzi wa kutumia Computer, ushawishi kwa wateja, branding, Marketing, pia naweza kufanya kazi kwa muda husika utakaopangwa

Natanguliza shukrani. Kwa mawasiliano 0768638810.
 
Kwa nini usiku tu, mchana unafanya nini?
 
Naomba namba yako pm
Mkuu pm yako umefunga, naomba maelezo ya kazi gani ipo na ni sehemu ilipo nije hata asubuhi. mimi sina simu natumia intanet ya kulipia. kwahiyo ukinipa maelezo ya sehemu kazi ilipo hata asubuhi mingekuja
 
Habari Wana Jf

Mimi ni kijana na umri wa miaka 24, MALE, makazi yangu kwa sasa nipo Kigamboni Dar es Salaam Tanzania.

Natafuta Kazi yoyote ikiwemo usaidizi, data entry, customer care, receptionist & ,casinos, ambayo naweza kufanya kwa muda wa usiku, au nyingine yoyote nje ya nilizopendekeza.

Kwa upande wa elimu nimesoma mpaka form six, Niko na nyaraka muhimu ikiwemo cheti cha kuzaliwa, O level & Advanced Certificate.

Ni mwaminifu na nina tabia njema. Pia napenda kujifunza zaidi nje ya uwezo niliokuw nao.

Nina ujuzi wa kutumia Computer, ushawishi kwa wateja, branding, Marketing, pia naweza kufanya kazi kwa muda husika utakaopangwa

Natanguliza shukrani. Kwa mawasiliano 0768638810.
Kwa nini USIKU?
 
Back
Top Bottom