Christian9820
New Member
- Oct 2, 2021
- 4
- 21
Habari wanajukwaa
Mimi ni kijana wa miaka 26
Jina ni Innocent Nyakunga
Makazi kwa sasa ni Shinyanga Mjini.
Elimu nimesoma hadi kidato cha sita kisha nikaenda chuo na kuhitimu Shahada ya sayansi katika usimamizi wa kodi (BACHELOR OF SCIENCE IN TAXATION) mwaka 2022.
Nimefanya internship Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA)
Uzoefu: Ushauri kuhusu maswala ya kodi na biashara kwa ujumla, kufile Ritani zote za TRA. Mifumo yao yote naifahamu fika
Nimekuja kwenu wanajukwaa kupata usaidizi wa kazi ama ajira yoyote. Mimi ni kijana muaminifu, mtiifu na mwenye bidii. Nina afya thabiti na mafunzo ya JKT yamenijenga kuwa muajibikaji na kuweza kuendana na mazingira ya kazi.
Nina uwezo wa kusoma na kuzungumza kwa ufasaha Kiswahili na Kingereza, nina ujuzi pia wa kutumia kompyuta, kufanya mahesabu ya kawaida, kusimamia na kuendesha biashara kwa kiasi.
Ombi langu ni kazi yoyote hata ya nje ya taaluma yangu (isiyohitaji taaluma) nipo tayari kufanya tena kwa ustadi wa hali ya juu, na pia niko tayar kupewa ujuzi mpya wa taaluma ya kazi yoyote(training).
Naomba kuwasilisha kwenu wana JamiiForums, Mungu awatangulie na nina imani nitapata usaidizi pia nipo tayari kujibu kila nitakachoulizwa eidha hapa ama PM.
Mawasiliano yangu ni 0758222404
AHSANTENI