Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 3,711
- 6,762
Amini boss napokea baraka hizi ..... Ikawe khery.. 🙏Pole kwa ukosefu wa ajira mkuu, milango itafunguka tu. Jitahidi comment zisikutoe mchezoni zikakuharibia uzi kwa kutoa majibu ya mihemko, humu wapo watu wanaweza kukusaidia ikitokea nafasi. Kila la heri boss.