Christian9820
New Member
- Oct 2, 2021
- 4
- 21
Shukran🙏
Kila la Kheri Mkuu.Habari wanajukwaa
Mimi ni kijana wa miaka 26
Jina ni Innocent Nyakunga
Makazi kwa sasa ni Shinyanga Mjini.
Elimu nimesoma hadi kidato cha sita kisha nikaenda chuo na kuhitimu Shahada ya sayansi katika usimamizi wa kodi (BACHELOR OF SCIENCE IN TAXATION) mwaka 2022.
Nimefanya internship Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA)
Uzoefu: Ushauri kuhusu maswala ya kodi na biashara kwa ujumla, kufile Ritani zote za TRA. Mifumo yao yote naifahamu fika
Nimekuja kwenu wanajukwaa kupata usaidizi wa kazi ama ajira yoyote. Mimi ni kijana muaminifu, mtiifu na mwenye bidii. Nina afya thabiti na mafunzo ya JKT yamenijenga kuwa muajibikaji na kuweza kuendana na mazingira ya kazi.
Nina uwezo wa kusoma na kuzungumza kwa ufasaha Kiswahili na Kingereza, nina ujuzi pia wa kutumia kompyuta, kufanya mahesabu ya kawaida, kusimamia na kuendesha biashara kwa kiasi.
Ombi langu ni kazi yoyote hata ya nje ya taaluma yangu (isiyohitaji taaluma) nipo tayari kufanya tena kwa ustadi wa hali ya juu, na pia niko tayar kupewa ujuzi mpya wa taaluma ya kazi yoyote(training).
Naomba kuwasilisha kwenu wana JamiiForums, Mungu awatangulie na nina imani nitapata usaidizi pia nipo tayari kujibu kila nitakachoulizwa eidha hapa ama PM.
Mawasiliano yangu ni 0758222404
AHSANTENI
Acha zako naomba kaziMama Chai Hizi Mkazi kasema mjiajiri Rizimoko anawachora tu mnavyokula msoto mpaka muanze kuwa wezi mchomwe moto ndio furaha iwaingie
Unaweza kuimba singeli amapiano kuwaimbia wajinga na wapumbavu kwenye kampeni za uchaguzi upewe million 500 ukanunue ndinga utambe mjini?Acha zako naomba kazi
Nataka unipe wewe! Mkuu kuimba siwezUnaweza kuimba singeli amapiano kuwaimbia wajinga na wapumbavu kwenye kampeni za uchaguzi upewe million 500 ukanunue ndinga utambe mjini?
Kuna Uzi nilikutag hujanipa maex zako.... UnazinguaUnaweza kuimba singeli amapiano kuwaimbia wajinga na wapumbavu kwenye kampeni za uchaguzi upewe million 500 ukanunue ndinga utambe mjini?
Mfuate Mama Chai Hizi Mkazi kule IG na X mwambie una shida na million 500 atakupa km alivyompa yule manzi fundi cherehani sawa dadaNataka unipe wewe! Mkuu kuimba siwez
Unazingua nani dada, ushaanza kulewa sio ?Mfuate Mama Chai Hizi Mkazi kule IG na X mwambie una shida na million 500 atakupa km alivyompa yule manzi fundi cherehani sawa dada
Aaah oyawee kumbe damu yangu hizi valuu zishaanza kua nyingi naonaUnazingua nani dada, ushaanza kulewa sio ?
Unazingua ujue ...... Mimi nakuambia nipe mchongo damu yako unaniita dada.... Daah 😂 🍺🍺Aaah oyawee kumbe damu yangu hizi valuu zishaanza kua nyingi naona
Uzi upi tag tena nikuoneKuna Uzi nilikutag hujanipa maex zako.... Unazingua
Nimekutag sikumbuk em check notification vizuri bossUzi upi tag tena nikuone
Pole kwa ukosefu wa ajira mkuu, milango itafunguka tu. Jitahidi comment zisikutoe mchezoni zikakuharibia uzi kwa kutoa majibu ya mihemko, humu wapo watu wanaweza kukusaidia ikitokea nafasi. Kila la heri boss.Acha zako naomba kazi