KisiwaChaJagwani
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 438
- 758
Habari Wana JamiiForums
Nilikuwa natafuta kazi japo nipate hata intern kusukuma maisha Elimu yangu ni Shahada ya manunuzi (Bachelor Degree in procurement and supply chain management)
Pia nina Diploma in procurement and supply chain management
Napatikana Mwanza Ila nipo tayar kufanya kazi mkoa wowote ule nikipata nafasi
ASANTEE SANA