Natafuta kazi ila nataka mwanamke, nitampa mahaba, masaji na kumfikisha kileleni

huo umbambanaji wako upo kwenye papuchi? mfyuuu nipitie mbali huko
ee mwenyezi Mungu kila mwanaume mwenye nia ya kunichuna,mvivu mvivu kama huyu mleta mada,asie na mpango wa kunipa hela kila nikipita mbele yake mpige upofu au unifanye ninuke kinyesi
Nimekupenda ghafla
 
Wapi nimetamka ntakula vya huyo mrembo wangu? wapi nimesema nitakaa siku zote bila kazi?


Hahahaaa nimekukuna haswa unaohopa isiwe hivyo, pata kazi kwanza ndio usake basi kama upo OK.
 
JAMAA LANISHANGAZA KUTAFUTA kulelewa,

Na ujumbe limepaza hivi huyu amelewa?

Kwa mami wende jibanza
Eti kisa kulelewa!

Shida yako ipi kwanza
Unataka kuolewa?
 
Umeniita?
 
Nimemsoma huyu kijana na majibu ya wengi mnayompa nnahisi amma mnaompinga au kumjibu kwa stihizai hamna uelewa wa maisha au m finyu sana vichwani mwenu.

Mimi nimependa alivyo muwazi.

Kazi zake alizosomea na industry aliyofanyia kazi zina uhusiano kabisa na matakwa yake.

Mimi ningemshauri atafute mke, kuna wengi humu jukwaani huwa wanatafuta waume, hii ndiyo fursa yenu.

Usikate tamaa kijana lakini ningefurahi zaidi ungetafuta wa kuoana nae wa kumfanyia yote badala ya wakufanya nae uasherati tu.

Hakika binti zangu wangekuwa hawajaolewa ningefanya kila njia nikuoze mmoja.

Nnakuahidi ntakutafutia mke kama u tayari kuoana nae si kufanya zinaa au uasherati.

This is a dream man. Ni mwanamke mpumbavu tu na muuza K asiyeyataka hayo.

Nani asiyependa kuhudumiwa?
 
Na wewe tena[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Kweli umeisoma namba kijana.hongera urongo tehe teh
 
Roga, tukana, wanga uwezavyo...ila ninachokijua n kwamba wewe sio baba wala mama yangu. Na sitakutukana.
Kwa hiyo upendo wako ni kwa wenye vipato tu? Haya ngoja nifute kauli, na nikutakie msako mwema.
 

Eeee kwa hiyo hawa wanawake wote waliokuwa wanapinga haya ya kuhudumiwa wote ni wauza k na wapumbavu ?

Duuu haya bibi
 
Eeee kwa hiyo hawa wanawake wote waliokuwa wanapinga haya ya kuhudumiwa wote ni wauza k na wapumbavu ?

Duuu haya bibi


Amma moja katika hayo amma si wanawake.

Amma wafanya kisebusebu na kiroho kiko papo.
 
Hata mafunzo yetu ya Kiislam ni; kwa mali zao, uzuri wao, nasaba zao na dini zao. Pia mwanamke anatakiwa alishwe avishwe.

Hongera kijana kwa kuyaona hayo.

Umeniudhi pale tu ambapo mema yote hayo unataka kuyapoteza kwenye uasherati. Anza kwa hilo la kuoana direct.

Nnakusihi tafuta mke umfanyie hayo na mtaishi kwa raha mustarehe na si mwanamke wa kumfanyia hayo kabla ya kuoana.
 
Hata mafunzo yetu ya kidini ni kwa mali zao, uzuri wao, nasaba zao na dini zao. Pia mwanamke anatakiwa alishwe avishwe.

Hata hivyo si ninaweza kumlisha na kumvisha mke wangu bila hata yeye kutakiwa kutumia utajiri wake juu yangu?
Na kwa tamaduni zetu uwezo wa mwanaume kuitunza familia huku akimtendea mema mke wake ni kipimo cha uanaume kwa mwanaume husika.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nilisema hapo mwanzo kuwa ..., mwanamke atakayeweza kumwelewa huyu kijana lazima awe MTU mzima au mke wa mtu . .

Umesema vizuri saaaana Faiza ... [emoji106]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nilisema hapo mwanzo kuwa ..., mwanamke atakayeweza kumwelewa huyu kijana lazima awe MTU mzima au mke wa mtu . .

Umesema vizuri saaaana Faiza ... [emoji106]


Yeyote aliyeisoma dini ya Kiislam na kuielewa hili la huyu kijana halitampa shida kabisa.
 
Hata hivyo si ninaweza kumlisha na kumvisha mke wangu bila hata yeye kutakiwa kutumia utajiri wake juu yangu?
Na kwa tamaduni zetu uwezo wa mwanaume kuitunza familia huku akimtendea mema mke wake ni kipimo cha uanaume kwa mwanaume husika.


Hakuna pahala nilipoona kuwa huyo kijana amedai anataka utajiri wa mwanamke.

Yeye ameonyesha "qualities" zake, ambazzo mimi nnaziona ni 'qualities" bora kabisa ambazo wanaume wengi hawana.

Wapi ulipoona kuwa huyo kijana kasema kuwa hatoitunza familia yake? Msome hapa kasemaje:

"Nitakupa mahaba, nitatunza nyumba na tutaishi kawaida..."

Hivi huwa mnakielewa mnachokisoma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…