ashomile
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 2,739
- 2,697
Upo sehemu nzuri kwenye mgodi wa dhahabu nyamongo , nenda uombe hata kazi ya ulinzi, utapewa mafunzo at the end u will become to be employee, pia usipende kusema huna ujuzi wowote , mimi naamini kila mtu ana professionalism yake, sijasoma sana ila kudhubutu kwangu hunifanya kujua mengi zaidi.