nakumbuka niliwahi kwenda saiti moja ivi tukaanza kubeba zege tulikuwa tunamwaga kwenye mashine ya kuchangana baada ya kama 2 hours tukaambiwa kuna mifuko 40 ya siment !! ww nikaona niache tu nika kimbia 😅 nikarud shule chapNilipo maliza form 6 nilisugua bench kitaa nililazimika kubeba zege kwa mafundi ujenzi mpaka nilipo pata nafasi ya kwenda chuo.Kaombe kaz kwa mafundi ujenzi ,ujishikize acha kulialia mkuu una mikono na miguu acha kujihurumia.
Sometimes binadamu tunajisahau sana, tunaropoka bila kufikiria, hata Mimi limeniuma sana japo sijaambiwa mimineno limeniuma sana ili.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ati mboga ya akina nani????Una utofauti gani na kile kiumbe chenye Maskio marefu Mawili na Mkia mrefu.. (mboga ya wahehe)