Natafuta kazi inayohusiana na Logistics and Transport

Tzr786

Member
Joined
Jan 17, 2018
Posts
87
Reaction score
65
Habari wana JF wa jamvi hili la Ajira. Nina diploma ya Logistics and Transport Management kutoka katika chuo cha usafirishaji (N.I.T), plus Microcomputer course kutoka University of Dar es salaam (U.C.C).

Nina experience ya miaka miwili kusimamia magari na madereva, nina skills za kutosha katika Transport management, Transport operation, Fleet supervisor na vehicle tracking.

Mwisho nina uwezo wa kufanya kazi bila ya usimamizi mkubwa, nje na ndani ya team pia uzungumzaji wa lugha za kingereza na kiswwhili kwa ufasaha, mwepesi kuendana na mazingira na changamoto mpya, uwezo wa kudumisha uhusiano na wateja. uwezo kuendeleza na kuboresha huduma za biashara

Asante

mawasiliano:
yakutiabeid87@gmail.com
0656000321
 
Tatizo hiki chuo cha NIT kinajaza sana vijana wa logistics mtaani, tatizo ni kuwa wao wanaangalia zaidi pesa kuliko qualifications, yaan saiv hata mtu alieishia lasaba anaweza pata degree ya logistics, anaanzia cheti, then diploma alafu degree.

Sasa hapo mtaacha kujazana kitaa....Ushauri tu kama unachance jaribu kwenda veta kuangalia course ambazo zitakufanya uwe more competent.. Logistics kitaani wapo wengi hadi wanakera...Ukienda kwenye interview zao unakuta nafasi moja wamekuja zaidi ya 50
 
Habari wana JF wa jamvi hili la Ajira. Nina diploma ya Logistics and Transport Management kutoka katika chuo cha usafirishaji (N.I.T), plus Microcomputer course kutoka University of Dar es salaam (U.C.C).

Nina experience ya miaka miwili kusimamia magari na madereva, nina skills za kutosha katika Transport management, Transport operation, Fleet supervisor na vehicle tracking.

Mwisho nina uwezo wa kufanya kazi bila ya usimamizi mkubwa, nje na ndani ya team pia uzungumzaji wa lugha za kingereza na kiswwhili kwa ufasaha, mwepesi kuendana na mazingira na changamoto mpya, uwezo wa kudumisha uhusiano na wateja. uwezo kuendeleza na kuboresha huduma za biashara

Asante

mawasiliano:
yakutiabeid87@gmail.com
0656000321
Hiyo![emoji116]
IMG_20200915_190213_476.jpg
 
Back
Top Bottom