Natafuta kazi, kama sio ya kulipwa basi hata kujitolea

blind fighter

Member
Joined
May 17, 2021
Posts
62
Reaction score
82
Jamani ndugu zangu, wenye makampuni, viwanda au wenye ndugu, marafiki na wadau.

Naomba kazi hata ya kujitolea nipate angalau experience ya kazi.. Nipo tayari kujitolea jamani, maana nikienda directly kuomba kazi na kupereka Cv narudishwa punde tu nikifika mapokezi, naambiwa nafasi hazipo hapa na hatuchukui intern. Kazi zetu tunatanganza kwenye ajira portal.

Mimi ni fresh graduate. Nina degree ya Business IT.
Naweza kufanya kazi za database administration (mySQL database, mariaDB Ubuntu server configuration?, business analysis, Business Intelligence, Business Process management, customer relationship management.

Pia nina basic knowledge ya Cyber security, advanced knowledge in LINUX
Pia nipo tayari kufanya kazi yoyote nitakayopewa na kampuni tofauti na mambo niliyosomea.

Nipo Dar es salaam. Ubungo RiverSide.

Mawasiliano; Normal call: 0616604372
Whatsap: 0620224372.
Jamani mnisaidie, sina pakuenda, sina ndugu yeyote anayefanya kazi serikalini walau wa kunisaidia kutafuta hata nafasi ya internship.

Msaada wenu wakuu wangu, familia inanitegemea kama msomi wa nyumbani, japo ndo nimemaliza chuo. Nyumbani patupu.
 
Jamani ndugu zangu, wenye makampuni, viwanda au wenye ndugu, marafiki na wadau.
Naomba kazi hata ya kujitolea nipate angalau experience ya kazi.. Nipo tayari kujitolea jamani, maana nikienda directly kuomba kazi na kupereka Cv narudishwa punde tu nikifika mapokezi, naambiwa nafasi hazipo hapa na hatuchukui intern. Kazi zetu tunatanganza kwenye ajira portal.

Mimi ni fresh graduate..
Nina degree ya Business IT.
Naweza kufanya kazi za database administration (mySQL database, mariaDB Ubuntu server configuration?, business analysis, Business Intelligence, Business Process management, customer relationship management..
Pia nina basic knowledge ya Cyber security, advanced knowledge in LINUX
Pia nipo tayari kufanya kazi yoyote nitakayopewa na kampuni tofauti na mambo niliyosomea.

Nipo Dar es salaam. Ubungo RiverSide.
Mawasiliano; Normal call: 0616604372
Whatsap: 0620224372.
Jamani mnisaidie, sina pakuenda, sina ndugu yeyote anayefanya kazi serikalini walau wa kunisaidia kutafuta hata nafasi ya internship.

Msaada wenu wakuu wangu, familia inanitegemea kama msomi wa nyumbani, japo ndo nimemaliza chuo. Nyumbani patupu.

Mawasiliano; Normal call: 0616604372
Whatsap: 0620224372.
Kila la kheri borther japo ulipoamua kukaa riverside bloo hapo hapakufai nakushauri ukifanikiwa kupata pa kujishikiza hama maana kamshahara katakuwa hatarini sana😂😂😂
 
Kila la kheri borther japo ulipoamua kukaa riverside bloo hapo hapakufai nakushauri ukifanikiwa kupata pa kujishikiza hama maana kamshahara katakuwa hatarini sana

Dah! Sina ela nitapata wapi hisia mkuu
 
Sema ni ufala sana mtu uwe na sifa zako ulizozisotea school alafu uje street uanze kutia huruma me ndo maana shule sijutii kuishia njiani maana nimejifunza kwamba wasomi wengi wana limit kwenye fikira zao, wanaamini kuajiriwa na kulipwa ndo goals zao. Wakati me nikipiga jicho naona i can be anyone i want, i can own anything i want, simpaparikii yoyote na wala simsujudii yoyote wote naona sawa tu… kiufupi sioni limit kwangu naona nahitaji tu ubunifu kidogo na uthubutu then nianze kujipimia mihela tu.
 
Jamani ndugu zangu, wenye makampuni, viwanda au wenye ndugu, marafiki na wadau.

Naomba kazi hata ya kujitolea nipate angalau experience ya kazi.. Nipo tayari kujitolea jamani, maana nikienda directly kuomba kazi na kupereka Cv narudishwa punde tu nikifika mapokezi, naambiwa nafasi hazipo hapa na hatuchukui intern. Kazi zetu tunatanganza kwenye ajira portal.

Mimi ni fresh graduate..
Nina degree ya Business IT.
Naweza kufanya kazi za database administration (mySQL database, mariaDB Ubuntu server configuration?, business analysis, Business Intelligence, Business Process management, customer relationship management.

Pia nina basic knowledge ya Cyber security, advanced knowledge in LINUX
Pia nipo tayari kufanya kazi yoyote nitakayopewa na kampuni tofauti na mambo niliyosomea.

Nipo Dar es salaam. Ubungo RiverSide.

Mawasiliano; Normal call: 0616604372
Whatsap: 0620224372.
Jamani mnisaidie, sina pakuenda, sina ndugu yeyote anayefanya kazi serikalini walau wa kunisaidia kutafuta hata nafasi ya internship.

Msaada wenu wakuu wangu, familia inanitegemea kama msomi wa nyumbani, japo ndo nimemaliza chuo. Nyumbani patupu.

Mawasiliano; Normal call: 0616604372
Whatsap: 0620224372.
Au wanaona ww unaweza kuihuck kampuni😄😄
 
Sema ni ufala sana mtu uwe na sifa zako ulizozisotea school alafu uje street uanze kutia huruma me ndo maana shule sijutii kuishia njiani maana nimejifunza kwamba wasomi wengi wana limit kwenye fikira zao, wanaamini kuajiriwa na kulipwa ndo goals zao. Wakati me nikipiga jicho naona i can be anyone i want, i can own anything i want, simpaparikii yoyote na wala simsujudii yoyote wote naona sawa tu… kiufupi sioni limit kwangu naona nahitaji tu ubunifu kidogo na uthubutu then nianze kujipimia mihela tu.
Hongera babaa.
Acha niendelee na ufala wangu huu huu humu. Kila mtu ana umuhimu wake katika eneo husika.
Hata mimi leo hii najiuliza, hivi watu wote wangesoma, akina nani wangekuwa wanatuchomea mahindi mtaani? Ila jibu nimepata.
Hongera sana mkuu.
 
Shukuru familia yako wengine hawana identity wanaishi msaada mpaka Jina la Ukoo wamesaidiwa
 
Hongera babaa.
Acha niendelee na ufala wangu huu huu humu. Kila mtu ana umuhimu wake katika eneo husika.
Hata mimi leo hii najiuliza, hivi watu wote wangesoma, akina nani wangekuwa wanatuchomea mahindi mtaani? Ila jibu nimepata.
Hongera sana mkuu.
Nimekuuliza zile kazi za eGA uliziona hapa majuzi au ndio ? Nafasi za Ajira zilitoka eGA uliona au ndio hujui chochote? Nijibu nijue pa kuishia
 
Mkuu sikuiona maana hapo kati simu yangu iliharibika kwa hiyo sikuwa na update
 
Hongera babaa.
Acha niendelee na ufala wangu huu huu humu. Kila mtu ana umuhimu wake katika eneo husika.
Hata mimi leo hii najiuliza, hivi watu wote wangesoma, akina nani wangekuwa wanatuchomea mahindi mtaani? Ila jibu nimepata.
Hongera sana mkuu.
Ndomana kuna jamaa hapo juu anaitwa Bondpost kuna neno kalizungumza, nimemuelewa sana ingawaje aliliwasilisha kwa njia ya utani... Vijana wa sasa hata mkamaliza vyuo vikuu bado vichwani ni ziro! Hata hamuelewi mambo, mavichwa yamekalia ujinga Ujinh tu!

Huyo jamaa hapo hakusema hivyo akimaanisha kwamba wewe ni FALA... Soma tena utaelewa. Anaizungumzia elimu yote in general na wasomi wengineo wote. Usikurupuke kijana na jitahidi kuweka negativity pembeni itakusaidia ku-grow maishani.
 
Back
Top Bottom