Natafuta kazi, kama sio ya kulipwa basi hata kujitolea

Natafuta kazi, kama sio ya kulipwa basi hata kujitolea

Mkuu sikuiona maana hapo kati simu yangu iliharibika kwa hiyo sikuwa na update
Jamaa yangu Wewe kweli haupo serious na Maisha yako, cha kukushauri hatua ya kwanza Hama hapo Riverside hamia sehemu nyingine uishi ukishahama nitafute nikupe muongozo wa nini ufanye na hio elimu uliyonayo, GPA inasoma ngapi?
 
Mmkuu ndo nimemaliza mwezi wa saba. Matokeo ya last semester haijatoka.
Yanatoka wiki inayo jumatatu.

Ila GPA za semesters zilizopita sio kubwa kiivo. Nina 2...
 
Mmkuu ndo nimemaliza mwezi wa saba. Matokeo ya last semester haijatoka.
Yanatoka wiki inayo jumatatu.

Ila GPA za semesters zilizopita sio kubwa kiivo. Nina 2...
Sasa Wewe IT unapataje GPA 2+ chali angu? Mimi najua maIT ni vichwa sasa doh anyways mchawi Ajira Portal Utumishi jisajiri huko hata ukiwa na GPA ya 2.0 wanakuita

Ukiwa unaendelea kufurukuta jisajiri huku
 
🙌ni majukumu tu ya kifamiliya ndugu. Sijapenda kupata hiyo.. Basi tu. Dunia imeficha siri.

Nashukuru kwa yote mkuu.. Ngoja nijisajili
 
hapo muhimu experience Tech fursa ni nyingi kam kweli uko vzr uwezi kosa mchongo
 
Ingia google andika

IT Intern at EA Foods September 2024

Apply hiyo kazi halafu uwe unazipitia hizo website walizopost hayo matangazo, ningeweka link lakini nisije nikaonekana na fanya matangazo kinyume na vigezo na masharti.
 
Mkuu hiyo nimeapply jana jioni. Shukrani sana
Ingia google andika

IT Intern at EA Foods September 2024

Apply hiyo kazi halafu uwe unazipitia hizo website walizopost hayo matangazo, ningeweka link lakini nisije nikaonekana na fanya matangazo kinyume na vigezo n
 
Safi endelea kupambana, sambaza CV zitajibu tu
Kuna Muhuni atakuja amwambie aende LinkedIn afungue a/c, afungue a/C Fiverr hahaha kuna Ile nyingine wanaita Truelancer eti atatoboa labda sikio
 
Mmkuu ndo nimemaliza mwezi wa saba. Matokeo ya last semester haijatoka.
Yanatoka wiki inayo jumatatu.

Ila GPA za semesters zilizopita sio kubwa kiivo. Nina 2...
Hv mwaka wa tatu wanamaliza mwezi wa saba? Kwani hakuna research?
 
Back
Top Bottom