Jamaa yangu Wewe kweli haupo serious na Maisha yako, cha kukushauri hatua ya kwanza Hama hapo Riverside hamia sehemu nyingine uishi ukishahama nitafute nikupe muongozo wa nini ufanye na hio elimu uliyonayo, GPA inasoma ngapi?Mkuu sikuiona maana hapo kati simu yangu iliharibika kwa hiyo sikuwa na update
Mpe link basi mboni unamwekea mtego wa Google?Mkuu Ingia Google, type graduate jobs in Tanzania, kazi zipo kibao for graduates, Ingia Google kila siku na uapply kote huko..
Siwezi nikachagua moja, Ingia Google kwenye search bar weka graduate jobs in Tanzania, zitakudirect kwenye links za ku apply...Mpe link basi mboni unamwekea mtego wa Google?
India Google?Siwezi nikachagua moja, India Google kwenye search bar weka graduate jobs in Tanzania, zitakudirect kwenye links za ku apply...
Ingia, typoIndia Google?
Mmkuu ndo nimemaliza mwezi wa saba. Matokeo ya last semester haijatoka.Jamaa yangu Wewe kweli haupo serious na Maisha yako, cha kukushauri hatua ya kwanza Hama hapo Riverside hamia sehemu nyingine uishi ukishahama nitafute nikupe muongozo wa nini ufanye na hio elimu uliyonayo, GPA inasoma ngapi?
Emu onyesha link hata 1Ingia, typo
Wewe wacha uvivu, usinisumbue mimi, I'm sure hujafanya nilivyosema.Emu onyesha link hata 1
Sasa Wewe IT unapataje GPA 2+ chali angu? Mimi najua maIT ni vichwa sasa doh anyways mchawi Ajira Portal Utumishi jisajiri huko hata ukiwa na GPA ya 2.0 wanakuitaMmkuu ndo nimemaliza mwezi wa saba. Matokeo ya last semester haijatoka.
Yanatoka wiki inayo jumatatu.
Ila GPA za semesters zilizopita sio kubwa kiivo. Nina 2...
hapo muhimu experience Tech fursa ni nyingi kam kweli uko vzr uwezi kosa mchongo
Ingia google andika
IT Intern at EA Foods September 2024
Apply hiyo kazi halafu uwe unazipitia hizo website walizopost hayo matangazo, ningeweka link lakini nisije nikaonekana na fanya matangazo kinyume na vigezo n
Safi endelea kupambana, sambaza CV zitajibu tuMkuu hiyo nimeapply jana jioni. Shukrani sana
Kuna Muhuni atakuja amwambie aende LinkedIn afungue a/c, afungue a/C Fiverr hahaha kuna Ile nyingine wanaita Truelancer eti atatoboa labda sikioSafi endelea kupambana, sambaza CV zitajibu tu
LinkedIn nina acount mkuuKuna Muhuni atakuja amwambie aende LinkedIn afungue a/c, afungue a/C Fiverr hahaha kuna Ile nyingine wanaita Truelancer eti atatoboa labda sikio
Hv mwaka wa tatu wanamaliza mwezi wa saba? Kwani hakuna research?Mmkuu ndo nimemaliza mwezi wa saba. Matokeo ya last semester haijatoka.
Yanatoka wiki inayo jumatatu.
Ila GPA za semesters zilizopita sio kubwa kiivo. Nina 2...
Naaam brother, nimeitika..whats up!?