Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi sina hofu na huo ugumu kabisa, nipo tayari kuukabili.Nzuri
Kazi za viwandani ndugu yangu ni kujichosha tu.
Ni afadhali uuze karanga au utembeze maji kandoro au pipi na sigara kuliko kwenda kiwandani.
Kazi ni ngumu mno tena yenye ujira mdogo.
acha ubishi dogo watu wanaokwambia wamejaribu kote koo wanakwambia uhalisiaMimi sina hofu na huo ugumu kabisa, nipo tayari kuukabili.
Umeshawahi kufanya kazi masaa kumi na mbili non stop??????Sio ubishi kaka sema ugumu mbona unavumilika tu huo maana hakuna kazi nyepesi ukizitafuta utasubiri sana.
Ok ... Sasa iko hivi kwa uzoefu wangu viwandani Kila siku asubuhi vibarua huwa wanakusanyika mapema asubuhi nje ya geti la kiwanda kusuburi Supervisor kuja kuchagua vibarua wa siku hiyo. Huwa Wana vibarua wao wakudumu na wengine huongezea Kama wamepungua inategemea na kazi zilizopo siku hiyo kiwandani .Mimi sina hofu na huo ugumu kabisa, nipo tayari kuukabili.
Yes mpeni uhalisia na Kama Mna connection pia mpeni akajaribu inawezekana akamudu Kuna watu wapo kule wamekomalia Wanafanya tu kumbe wafanyaje japo kazi ngumu ,masaa mengi hela kiduchu.acha ubishi dogo watu wanaokwambia wamejaribu kote koo wanakwambia uhalisia
ishu sio kazi ngumu ishu ni maslahi utauchosha mwili kwa ajili ya kula na Kodi hela anayolipa mhindi inagawika huwezi kufanya kitu cha maana yaani unaeza fanya kazi wiki nzima ila siku utayosema upumzike unajikuta huna helaSio ubishi kaka sema ugumu mbona unavumilika tu huo maana hakuna kazi nyepesi ukizitafuta utasubiri sana.
Mi nipo maeneo ya tabata-mwananchi, kipawa ndo kule g/mbotoOk ... Sasa iko hivi kwa uzoefu wangu viwandani Kila siku asubuhi vibarua huwa wanakusanyika mapema asubuhi nje ya geti la kiwanda kusuburi Supervisor kuja kuchagua vibarua wa siku hiyo. Huwa Wana vibarua wao wakudumu na wengine huongezea Kama wamepungua inategemea na kazi zilizopo siku hiyo kiwandani .
Ukibahatika unachaguliwa usipo bahatika ndio hivyo tena sometimes unaweza kusota hapo Kila siku na usipate nafasi . Maana pia nafasi hutoka kwa upendeleo kwa maana ya connection . Kwahiyo Ni juhudi yako Sasa kutembelea viwanda mbalimbali kujaribu bahati yako saa 12 au 1 asubuhi uwepo around maeneo ya kiwandani nje ili wakianza kupick uwepo. Jaribu kuongea pia na Yule anaechagua watu pale getini .
Ukizoeleka unakua unapata nafasi Kila siku maana wanachagua kwa kuangalia usoni wanaowajua Kwanza .
Nenda kajaribu pale murzah kiwanda Cha sabuni kipo kipawa jirani na sido . Hiyo njia kuanzia tazara Kama unaelekea airport ina viwanda , jaribu huko .Sasa sijui wewe uko wapi.
Ee kaka nimewahi kuzifanya kazi za namna hii, na kukutoa ofu ni kuwa mimi ni kijana mwenye nguvu na afya nzuri tu.Umeshawahi kufanya kazi masaa kumi na mbili non stop??????
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
nilifanya kazi kiwandani kama kibarua ili nipate connection ya kufika juu nipeleke makaratasi yangu ili iwe rahisi kupewa kwa sababu nimeanza chini na ni mfanyakazi wao, mamaee nilisota miezi 6, bila mafanikio, kazi ngumu hatari, ukilala siku moja hela huna, unajitahidi ufanye kazi hadi overtime ili hela iongezeke kidogo angalau baada ya siku 15, upokee ya afadhali,,,ishu sio kazi ngumu ishu ni maslahi utauchosha mwili kwa ajili ya kula na Kodi hela anayolipa mhindi inagawika huwezi kufanya kitu cha maana yaani unaeza fanya kazi wiki nzima ila siku utayosema upumzike unajikuta huna hela
nilifanya kazi kiwandani kama kibarua ili nipate connection ya kufika juu nipeleke makaratasi yangu ili iwe rahisi kupewa kwa sababu nimeanza chini na ni mfanyakazi wao, mamaee nilisota miezi 6, bila mafanikio, kazi ngumu hatari, ukilala siku moja hela huna, unajitahidi ufanye kazi hadi overtime ili hela iongezeke kidogo angalau baada ya siku 15, upokee ya afadhali,,,ishu sio kazi ngumu ishu ni maslahi utauchosha mwili kwa ajili ya kula na Kodi hela anayolipa mhindi inagawika huwezi kufanya kitu cha maana yaani unaeza fanya kazi wiki nzima ila siku utayosema upumzike unajikuta huna hela
nilifanya kazi kiwandani kama kibarua ili nipate connection ya kufika juu nipeleke makaratasi yangu ili iwe rahisi kupewa kwa sababu nimeanza chini na ni mfanyakazi wao, mamaee nilisota miezi 6, bila mafanikio, kazi ngumu hatari, ukilala siku moja hela huna, unajitahidi ufanye kazi hadi overtime ili hela iongezeke kidogo angalau baada ya siku 15, upokee ya afadhali,,,
CHANGAMOTO
nauli juu yako
kwengine hamna msosi mchana kwa hiyo inakua juu yako.
ukipiga hesabu ya nauli na unachokipokea kwa wiki kadhaa,, aisee unaona unafanya mchezo wa ukutiukuti, huku ukizidi kudhoofu mwili tu.
jaribu hapo externalMi nipo maeneo ya tabata-mwananchi, kipawa ndo kule g/mboto
Mi nipo maeneo ya tabata-mwananchi, kipawa ndo kule g/mboto
Ndio ,Kama unaelekea gongo la mboto . Ni kabla ya airport.Mi nipo maeneo ya tabata-mwananchi, kipawa ndo kule g/mboto
Ushauri murua kabisa.Ndio ,Kama unaelekea gongo la mboto . Ni kabla ya airport.
Sasa Kama unataka kujaribu hapo murzah ukipanda daladala shuka kituo sido Kama unatokea tazara then Utavuka barabara upande wa pili utatembea kufuata barabara utaiona sido utaimaliza mbele utaona geti la kiwanda Cha murzah vijana wako nje .
Kuna kiwanda Cha Pepsi pia barabara hiyo hiyo tazara kwenda airport kituo jina sikumbuki jaribu kusearch kwenye Google map