Nenda pale shekilango jirani naUrafiki,,Kuna viwanda viwili vya biscuits,,kuingia ni saa 12 asubuhi kutoka ni kuanzia saa nane hadi saa kumi,,malipo ni 5000-6000 per day.Pia nenda siku ya ijumaa utawakuta wachina wa bidhaa za SUNDAR, ijumaan ni siku yao ya kuajiri vibarua,Hawa kidogo wanalipa vizuri, Ofisi yao na store zao zipo jengo linalofuata kueleke mbele ukitokea getini,,Mimi naamini wewe ni mwanaume mpambanaji,,kutoka external hadi pale ni jirani tembea kwa mguu tu,,utaanza kwa kuweka akiba 2500 kwa siku mpaka kieleweke,,ukifika kwenye kiwanda Cha biscuit muulizie jamaa mmoja anaitwa SHIT,,Atakupa ABC za mule ndani..wote tumepita huko kwenye hizo kazi Hadi tukapata mitaji ....TSH5000 sio ndogo ukiwa na lengo .. PAMBANA MDOGO WANGU,,WAHINDI WANA DHARAU SANA LAKINI USIPOTEZE LENGO LAKO.