Natafuta kazi kiwandani

Natafuta kazi kiwandani

Heri ya mwaka mpya ndugu zangu kuna nafasi za kazi za kibarua Cocacola Tsh 6,000 kwa siku kama una kijana aje Maramoja Cocacola Mikocheni
CV.
1.Awe anajua kusoma na kuandika.
2.Nguvu ya kufanyakazi ngumu.
3.Awe mstarabu.
4.Vingine tutafundishana kazini.

Mpigie simu Ally 0713799310 yupo ofisini anapokea majina mtume kijana apige simu mara moja ajisajili. KAZI INAANZA KESHO TAREHE 04.01.2021 saa 12.30 asubuhi
Asante
Hapa ukimpigia jamaa anasema wameshatimia tayari.
 
Sio ubishi kaka sema ugumu mbona unavumilika tu huo maana hakuna kazi nyepesi ukizitafuta utasubiri sana.
usiwe mbishi watu wanakuonea huruma utaenda kuwafanyia kazi wahindi uwatajirishe kwa masaa 12 kisha ulipwe elfu 5 kwa siku huoni ni utumwa huo ndugu.
Si bora tu ujifunze kuendesha boda boda upate elfu 10 hadi 20 bila manyanyaso.
Fungua akili
 
Yes mpeni uhalisia na Kama Mna connection pia mpeni akajaribu inawezekana akamudu Kuna watu wapo kule wamekomalia Wanafanya tu kumbe wafanyaje japo kazi ngumu ,masaa mengi hela kiduchu.
Shida sio kukomalia kufanya,shida ni kwamba hata ufanye miaka 100 maisha yako hsyabadiliki unakuwa vile vile kama siku uliyoanza
 
usiwe mbishi watu wanakuonea huruma utaenda kuwafanyia kazi wahindi uwatajirishe kwa masaa 12 kisha ulipwe elfu 5 kwa siku huoni ni utumwa huo ndugu.
Si bora tu ujifunze kuendesha boda boda upate elfu 10 hadi 20 bila manyanyaso.
Fungua akili
Kaka acha sisi tupige hivihivi vibarua vya mhindi tu.
 
Heri ya mwaka mpya ndugu zangu kuna nafasi za kazi za kibarua Cocacola Tsh 6,000 kwa siku kama una kijana aje Maramoja Cocacola Mikocheni
CV.
1.Awe anajua kusoma na kuandika.
2.Nguvu ya kufanyakazi ngumu.
3.Awe mstarabu.
4.Vingine tutafundishana kazini.

Mpigie simu Ally 0713799310 yupo ofisini anapokea majina mtume kijana apige simu mara moja ajisajili. KAZI INAANZA KESHO TAREHE 04.01.2021 saa 12.30 asubuhi
Asante
Mkuu nafasi bado zipo?
 
Kuna kiwanda kipo mabibo cha sabuni kinapokea watu kila day kina itwa royal soap kam unahitaj nenda apo
 
Kuna kiwanda kipo mabibo cha sabuni kinapokea watu kila day kina itwa royal soap kam unahitaj nenda apo
Kweli hiki kiwanda kina uhitaji wa watu hila unatakiwa kuwa na kadi ya akaunti ya CRDB ili uweze kupata kibarua kiwanda hiki.
 
Wanahitaji vitu gani uwende navyo huko, working time ipoje, na wanalipaje.

mjomba yupo kwa gari kuja tafuta maisha.
 
Wanahitaji vitu gani uwende navyo huko, working time ipoje, na wanalipaje.

mjomba yupo kwa gari kuja tafuta maisha.
Malipo ni kama 5000 au 6000 kwa siku, unahitajika kuna na kadi ya benki.
 
Mahitaji
1.kadi ya benki
2.Working hours 12hrs
3.malipo elfu 6 kwa siku.
 
Nenda pale shekilango jirani naUrafiki,,Kuna viwanda viwili vya biscuits,,kuingia ni saa 12 asubuhi kutoka ni kuanzia saa nane hadi saa kumi,,malipo ni 5000-6000 per day.Pia nenda siku ya ijumaa utawakuta wachina wa bidhaa za SUNDAR, ijumaan ni siku yao ya kuajiri vibarua,Hawa kidogo wanalipa vizuri, Ofisi yao na store zao zipo jengo linalofuata kueleke mbele ukitokea getini,,Mimi naamini wewe ni mwanaume mpambanaji,,kutoka external hadi pale ni jirani tembea kwa mguu tu,,utaanza kwa kuweka akiba 2500 kwa siku mpaka kieleweke,,ukifika kwenye kiwanda Cha biscuit muulizie jamaa mmoja anaitwa SHIT,,Atakupa ABC za mule ndani..wote tumepita huko kwenye hizo kazi Hadi tukapata mitaji ....TSH5000 sio ndogo ukiwa na lengo .. PAMBANA MDOGO WANGU,,WAHINDI WANA DHARAU SANA LAKINI USIPOTEZE LENGO LAKO.
Mkuu aise barikiwa sana popote ulipo. Ushauri wako nimeupata vizuri... Nami nipo humuhumu pia... Natafta mpenyo.
 
Back
Top Bottom