Natafuta kazi kiwandani

Hapa ukimpigia jamaa anasema wameshatimia tayari.
 
Sio ubishi kaka sema ugumu mbona unavumilika tu huo maana hakuna kazi nyepesi ukizitafuta utasubiri sana.
usiwe mbishi watu wanakuonea huruma utaenda kuwafanyia kazi wahindi uwatajirishe kwa masaa 12 kisha ulipwe elfu 5 kwa siku huoni ni utumwa huo ndugu.
Si bora tu ujifunze kuendesha boda boda upate elfu 10 hadi 20 bila manyanyaso.
Fungua akili
 
Yes mpeni uhalisia na Kama Mna connection pia mpeni akajaribu inawezekana akamudu Kuna watu wapo kule wamekomalia Wanafanya tu kumbe wafanyaje japo kazi ngumu ,masaa mengi hela kiduchu.
Shida sio kukomalia kufanya,shida ni kwamba hata ufanye miaka 100 maisha yako hsyabadiliki unakuwa vile vile kama siku uliyoanza
 
usiwe mbishi watu wanakuonea huruma utaenda kuwafanyia kazi wahindi uwatajirishe kwa masaa 12 kisha ulipwe elfu 5 kwa siku huoni ni utumwa huo ndugu.
Si bora tu ujifunze kuendesha boda boda upate elfu 10 hadi 20 bila manyanyaso.
Fungua akili
Kaka acha sisi tupige hivihivi vibarua vya mhindi tu.
 
Mkuu nafasi bado zipo?
 
Kuna kiwanda kipo mabibo cha sabuni kinapokea watu kila day kina itwa royal soap kam unahitaj nenda apo
 
Kweli hiki kiwanda kina uhitaji wa watu hila unatakiwa kuwa na kadi ya akaunti ya CRDB ili uweze kupata kibarua kiwanda hiki.
 
Wanahitaji vitu gani uwende navyo huko, working time ipoje, na wanalipaje.

mjomba yupo kwa gari kuja tafuta maisha.
 
Malipo ni kama 5000 au 6000 kwa siku, unahitajika kuna na kadi ya benki.
 
Mahitaji
1.kadi ya benki
2.Working hours 12hrs
3.malipo elfu 6 kwa siku.
 
Mkuu aise barikiwa sana popote ulipo. Ushauri wako nimeupata vizuri... Nami nipo humuhumu pia... Natafta mpenyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…