Natafuta kazi na ujuzi kwenye maswala ya kodi

Natafuta kazi na ujuzi kwenye maswala ya kodi

Mr Maimu

Member
Joined
Jul 21, 2023
Posts
5
Reaction score
2
Kwa elimu nina Bachelor degree of science in taxation kutoka chuo cha usimamizi wa fedha IFM darasa la 2025 nipo na ujuzi kwenye maswala ya kodi sehemu tofauti tofauti hivyo naomba kazi au kibarua
Namba yangu ya simu ni 0778190736
 
Hongera na pole,kazi sio kwamba hskuna au sio kwamba cv yako sio nzuri shida ni keamba sahivi waajiri kwa kujuana.

Cha kufanya pambana kusaka pesa kazi ni nyingi ila ajira ni chache.
 
Back
Top Bottom