M Mr Maimu Member Joined Jul 21, 2023 Posts 5 Reaction score 2 Jan 17, 2026 #1 Kwa elimu nina Bachelor degree of science in taxation kutoka chuo cha usimamizi wa fedha IFM darasa la 2025 nipo na ujuzi kwenye maswala ya kodi sehemu tofauti tofauti hivyo naomba kazi au kibarua Namba yangu ya simu ni 0778190736
Kwa elimu nina Bachelor degree of science in taxation kutoka chuo cha usimamizi wa fedha IFM darasa la 2025 nipo na ujuzi kwenye maswala ya kodi sehemu tofauti tofauti hivyo naomba kazi au kibarua Namba yangu ya simu ni 0778190736
Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 8,306 Reaction score 14,632 Jan 18, 2026 #2 Watoza ushuru ni watu wenye dhambi kibiblia.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Jan 18, 2026 #3 Kila la kheri... Cc: Mahondaw
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 22,569 Reaction score 43,614 Jan 18, 2026 #4 Hongera na pole,kazi sio kwamba hskuna au sio kwamba cv yako sio nzuri shida ni keamba sahivi waajiri kwa kujuana. Cha kufanya pambana kusaka pesa kazi ni nyingi ila ajira ni chache.
Hongera na pole,kazi sio kwamba hskuna au sio kwamba cv yako sio nzuri shida ni keamba sahivi waajiri kwa kujuana. Cha kufanya pambana kusaka pesa kazi ni nyingi ila ajira ni chache.
M Mr Maimu Member Joined Jul 21, 2023 Posts 5 Reaction score 2 Jan 18, 2026 Thread starter #5 Mjusi Sharobalo said: Watoza ushuru ni watu wenye dhambi kibiblia. Click to expand... Hahaha Amna kiongozi
Mjusi Sharobalo said: Watoza ushuru ni watu wenye dhambi kibiblia. Click to expand... Hahaha Amna kiongozi