Natafuta kazi, naombeni mnishike mkono

Natafuta kazi, naombeni mnishike mkono

redtiger

Member
Joined
Feb 18, 2024
Posts
19
Reaction score
50
Wadau naombini mnishike mkono kama kuna kazi yoyote ya kueleweka kidogo ambayo ni ya halali naombeni mnisaidie na Mimi nipate chochote kitu hata kidogo basi

Nipo Dar es Salaam jinsia wakiume miaka 25 elimu kidato Cha nne kama Kuna kazi ya duka stoo viwandani kufanya usafi ofisini nk
 
Mtaji ef 5?? Labda ikiwa una vifaa vyako mkuu uko center stend kbsa mbgala unalipa kod friza umeme maji afu ef tano wote si wangefanya hiyo kaz kwa ef tano
 
Mtaji ef 5?? Labda ikiwa una vifaa vyako mkuu uko center stend kbsa mbgala unalipa kod friza umeme maji afu ef tano wote si wangefanya hiyo kaz kwa ef tano

Ndoo ndogo haizidi 2k

Ananunua barafu haizidi 1K

Anafunga then anaanza kutembeza
 
Sawa Ila Kijana akiyetoka chuo kuajiriwa kuuza kandoro Kwa ujira wa 90K unahisi ni sahihi?.
Bas waajiri ww mkuu kwa huo mshahar mzur na kaz nzur tunachofny apa ni mtu ambae han mishe apate mishe ya kupg wengn mpm kod mtu anashndw kujikim sa huon apo ni 90 afu kula inakua juu yng
 
Back
Top Bottom