Natafuta kazi, Nimesoma ualimu wa Historia na Kiingereza

Natafuta kazi, Nimesoma ualimu wa Historia na Kiingereza

Codename96

Member
Joined
Sep 17, 2020
Posts
90
Reaction score
85
Nimesoma degree ya Education.(Ualimu).

Nimesoma ualimu wa Historia na Kiingereza.

Natafuta kazi ya ualimu au kazi yoyote ile ambayo ni halali.

Niko tayari kwenda mkoa wowote ule hata Kigoma.
 
Tafuta shughuli nyingine ya kufanya achana na kutegemea ajira za ualimu

Tembea na mafund kama kibarua at the last utakuwa fund na ww
 
Back
Top Bottom