Natafuta Kazi, nimesomea IT nina uzoefu wa kufanya mapambo

Natafuta Kazi, nimesomea IT nina uzoefu wa kufanya mapambo

Vip umezicheck unafiti mojawapo?
Kaka nimecheki nime fit moja tu zengine zimanitolea nje .
Post zote zile mwenye dilpoma itamkubalia ya TPA security officer assistant

Zengine zote zitamgomea .
 
Back
Top Bottom