Natafuta kazi nina bachelor degree in information technology"

Utumishi wako fair

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2021
Posts
429
Reaction score
1,340
Habari wanajukwaa naamini humu kuna watu wa aina Tofauti Tofauti na wengine wamepata kazi zao kupitia hili jukwaa.
Hivyo nakuja mbele yenu kuomba Nafasi au Connection itakayonisaidia Kuweza kupata Ajira ...

Elimu yangu NI BACHELOR DEGREE IN INFORMATION TECHNOLOGY.

nimespecialize kwenye Networking, System Administrator. Linux / Unix server administrator Pamoja na Software & Hardware Maintanance. Uzoefu wa kazi ni 2 Years.

Mkoa niliopo Ni DAR ES SALAAM, na naweza kufanya kazi mkoa wowote

Yoyote mwenye kuweza kunisaidia ,Mungu ambariki Sana ,hata kunishauri tu jaribu Kwenda kuomba sehemu Fulani.

ASANTEE 🙏
 
Kila la kheri, ngoja waje kukupa muongozo...
 
Umeandika mambo too technical sidhani kama baadhi ya waajiri au wanaotafuta wafanyakazi wanaweza wakaelewa. So, unaweza ukaelezea unaweza kufanya au kutengeneza nini na nini?
 
Habari wanajukwaa naamini humu kuna watu wa aina Tofauti Tofauti na wengine wamepata kazi zao kupitia hili jukwaa.
Hivyo nakuja mbele yenu kuomba Nafasi au Connection itakayonisaidia Kuweza kupata Ajira ...

Elimu yangu NI BACHELOR DEGREE IN INFORMATION TECHNOLOGY.

nimespecialize kwenye Networking, System Administrator. Linux / Unix server administrator Pamoja na Software & Hardware Maintanance. Uzoefu wa kazi ni 2 Years.

Mkoa niliopo Ni DAR ES SALAAM, na naweza kufanya kazi mkoa wowote

Yoyote mwenye kuweza kunisaidia ,Mungu ambariki Sana ,hata kunishauri tu jaribu Kwenda kuomba sehemu Fulani.

ASANTEE 🙏
utumishi ajira za ICT nyingi sana labda kama unaogopa INterview
 
Mkuu utumishi usiache kuombaa maana huu mwaka Ni wa watu wa ICT
 
ICT Ndani yake kuna computer security, database administration, network security and administration, software engineering, computer engineering, information systems , content creator, health information system, business information system, ect
Sass utumishi inategemea Wana taka MTU mwenye qualifications gan kutoka hapo juu👆

ICT ni dubwana kumbwa Sana
 
Back
Top Bottom