Natafuta kazi nina Diploma ya Komputa na Teknolojia ya Habari

sekmic

Member
Joined
Nov 25, 2021
Posts
5
Reaction score
2
Habari Ndugu Zangu,

Mimi ni binti mwenye umri wa miaka 24 nina ishi mkoa wa Dar es salaam.

Nilihitimu masomo yangu katika ngazi ya Diploma ya Komputa na Teknolojia ya Habari (Diploma in Computing and Information Technology) katika chuo xx.
Pia nina mafunzo na kuhitimu Kwa kuwa na professional certificates CISCO na CCNA.

Nina uzoefu wa maeneo kadhaa niliyowahi kufanya kazi,
Niliwahi kufanya kazi Mkoa xx kama BVR kit operator.

Niliwahi kufundisha College xx kama Mwalimu wa somo la Komputa.

Niliwahi kufanya kazi katika kampuni xx kama IT technician supporter.

Niliwahi kufanya kazi katika kampuni xx as a Network operator.

Kama nitaweza kupata kazi iliyo ndani ya taaluma yangu au hata iliyo nje ya taaluma yangu Nitashukuru Sana.
Asanteni Sana.
 
Huyu mtu ni tapeli.Kuweni makini sana! Anateka watu anawafungia ndani jela ndogo kubeba zege na tofali kama watumwa
 
Soma mada.

Mengoine ni yako na yanatoka kinywani mwako. Siwezi kubishana na ujinga wa mtu binafsi.
Huyu mtu ni tapeli.Anawaita vijana huko Misugusu Kibaha kwa lengo la kuwatumikisha.Kuweni makini
 
bado unahitaji kazi?
Nitumie CV yako au tuwasiliane 0717157640
 
Tuna nafsi ya markerting cum customer care -Moshi institute of Technology
kama una interest tuwasiliane au tuma cv whatsap 0717157640
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…