Habari Wapendwa.
Mimi ni kijana wa kike Nina umri wa miaka 35, Nina elimu ya kidato cha nne na certificate ya secretarial. Natafuta kazi kati ya hizi:-
-Secretary
-Stationary
-Customer care
-Reception.
Nina uzoefu wa kazi kwa miaka 10 computer full na stationary. Nimeshawahi kufanya kazi sehemu mbalimbali stationary, shule na ofisi.
Mawasiliano yangu: 0785820366/ 0752036600
Ahsanteni.