VMWare-Oracle
JF-Expert Member
- Dec 19, 2021
- 667
- 917
Kazi nyingi mjini hapa ni malipo ya commission kijana, upo tayari?Ninaweza kufanya kazi yoyote,mifano; kufanya usafi katika migahawa,maofisini au kumbi za harusi.Kukaanga chipsi (sina uzoefu ila nipo vizuri katika kuzoea mazingira ya kazi.Kila kitu kitaenda sawa ndani ya muda mfupi,naahidi),kutengeneza sharubati n.k Mshahara hata wa 150k kwa mwezi ni sawa tu.
Malipo ya commission yakoje mkuu?Kazi nyingi mjini hapa ni malipo ya commission kijana, upo tayari?
Shule binafsi au za serikali?Nenda ukaombe nafasi ya kufundisha masomo ya jioni (tuition) kwa wanafunzi ya leo yako; matokeo yatakubeba
Unalipwa kadili unavyofanya mauzo, mfano ukifanya mauzo ya milioni 1 unapewa 5% to 10% .Malipo ya commission yakoje mkuu?
Nitaweza mkuuUnalipwa kadili unavyofanya mauzo, mfano ukifanya mauzo ya milioni 1 unapewa 5% to 10% .
Nitumie no inbox ( PM)Nitaweza mkuu
Why mkuu?Uende ukasome then uje
Asante mkuu.ππ½Kijana umenifurahisha kwamba unatafuta kazi punde tu baada ya matokeo kutoka na daraja lako la kwanza la point 7, hiyo ni nzuri itakupa mwanga zaidi wa kujua namna ambavyo ufaulu wako mzuri zaidi haukupi guarantee ya kupata kazi nzuri kwa nyakati hizi.
Vilevile itakusaidia ukifika chuoni kujiongeza zaidi kwa kutafuta fursa na social network zaidi ambayo inaweza kukusaidia siku za usoni.
Mwisho, wewe ni tofauti kabisa na yule ambaye amefaulu na atabweteka tu akiamini kwa matokeo Kama hayo ameshatoboa.
Kila kheri kijana.
Tembelea shule zoteShule binafsi au za serikali?
Hongera sana tena sana mimi mwenyewe nimemaliza form four 2021 nimepata 3.24Habari zenu wana JF,
Mimi ni kijana,nimemaliza kidato cha nne mwaka 2021. Elimu yangu ni ya kidato cha nne na matokeo yametoka nimepata div.1.7; A-tisa na B-moja ya Bible knowledge pekee.
Nimesoma masomo sayansi shule ya wavulana Marian iliyopo Pwani, Bagamoyo na nimeomba kujiunga chuo cha DIT. Kama tujuavyo diploma program inaanza mwezi wa kumi.
Natafuta kazi ambapo nitapata chochote kitu ili nisikae mtaani muda wote huu. Sina mtaji wowote ule ndio maana nategemea mkono wa mtu kunipa tender.
Umri ni miaka 17 na ninaishi Dar es salaam, Msasani.
Natanguliza shukrani.
Asante sana mkuuππ½.Hongera sana tena sana mimi mwenyewe nimemaliza form four 2021 nimepata 3.24
Nilipomaliza mtihani wa mwisho tarehe 25 mwez wa 11 nikaingia mtaani nipo sinza nimepata kibarua cha kukaanga chips kwa sku nalipwa 8000 maisha yanaendaAsante sana mkuu[emoji1431].
Vipi na wewe unatafuta kibarua?
Hongera sana mkuu.ππ½πͺπ½Nilipomaliza mtihani wa mwisho tarehe 25 mwez wa 11 nikaingia mtaani nipo sinza nimepata kibarua cha kukaanga chips kwa sku nalipwa 8000 maisha yanaenda
Asante mkuuOngera sana kijana...