Natafuta kazi, nina elimu ya Kidato cha Nne

Soma dogo achana na masuala ya Ajira pesa zitakunogea then utasahau kama Kuna shule
 
Habari zenu wana JF,

Mimi ni kijana,nimemaliza kidato cha nne mwaka 2021. Elimu yangu ni ya kidato cha nne na matokeo yametoka nimepata div.1.7; A-tisa na B-moja ya Bible knowledge pekee.

Nimesoma masomo sayansi shule ya wavulana Marian iliyopo Pwani, Bagamoyo na nimeomba kujiunga chuo cha DIT. Kama tujuavyo diploma program inaanza mwezi wa kumi.

Natafuta kazi ambapo nitapata chochote kitu ili nisikae mtaani muda wote huu. Sina mtaji wowote ule ndio maana nategemea mkono wa mtu kunipa tender.

Umri ni miaka 17 na ninaishi Dar es salaam, Msasani.

Natanguliza shukrani.
Kama sijakuelewa vizuri hivi Mkuu, inawezekanaje upate daraja la kwanza lakini ukasome stashahada na sio Shahada,
Hebu nielezee kidogo nikuelewe Mkuu.
 
Mkuu siku hizi hata wenye div1 form four wanaenda diploma.Haimaanishi utaishia diploma pekee ila tatizo wengi hushindwa kupata GPA Itakayomwezeshsha kuchukua shahada(bachelor degree) kwa mfano engineering GPA ni 3.5 na kuendelea.Moja ya sababu ya wao kufeli ni kutokana na kutofanya vizuri csee hivyo wana uwezo mdogo.
 
Kuanzia ufaulu gani wa Form Four unaenda moja kwa moja Diploma?
 
Mimi najua kuhusu dit.Kwakua pale wanatoa course za engineering wanahitaji C-tatu masomo ya fizikia,kemia na hisabati kama minimum qualification.
 
gud kijana mim 2017 nilipomaliza tu na div 3.24 nikaingia mtaan nikaanza kuwa wakala tigo pesa (niliajiriwa) then nikaenda kujifunza ufundi simu na computer kwa vile hom walikuwa choka mbaya nikaachana na chuo mpaka 2020 nikaingia veta kupiga msasa ujuz wang wa mtaani nashkuru mungu kidogo kinapatikana mpaka sasa
so bora ulivyojiongeza vijana wengine mnaotegemea elimu tu jifunzen kwa kijana mwenzetu hapa
 
Shukrani mkuu.
 
Habari wapendwa
Ni binti wa miaka 24
Ninaishi mbezi mwisho Dar es Salaam
Natafuta kazi ya customer service,document typing
Secretary , receptionist
ninazungumza vizuri kiingereza
Ninajua kutumia computer na simu(smartphones)
Nina diploma ya communication
 
Back
Top Bottom