Hongera sana tena sana mimi mwenyewe nimemaliza form four 2021 nimepata 3.24
Hapana mkuu nimepangaKwa hiyo umefurah umejikalia kwa baba na mama sio?
Kama sijakuelewa vizuri hivi Mkuu, inawezekanaje upate daraja la kwanza lakini ukasome stashahada na sio Shahada,Habari zenu wana JF,
Mimi ni kijana,nimemaliza kidato cha nne mwaka 2021. Elimu yangu ni ya kidato cha nne na matokeo yametoka nimepata div.1.7; A-tisa na B-moja ya Bible knowledge pekee.
Nimesoma masomo sayansi shule ya wavulana Marian iliyopo Pwani, Bagamoyo na nimeomba kujiunga chuo cha DIT. Kama tujuavyo diploma program inaanza mwezi wa kumi.
Natafuta kazi ambapo nitapata chochote kitu ili nisikae mtaani muda wote huu. Sina mtaji wowote ule ndio maana nategemea mkono wa mtu kunipa tender.
Umri ni miaka 17 na ninaishi Dar es salaam, Msasani.
Natanguliza shukrani.
Mkuu siku hizi hata wenye div1 form four wanaenda diploma.Haimaanishi utaishia diploma pekee ila tatizo wengi hushindwa kupata GPA Itakayomwezeshsha kuchukua shahada(bachelor degree) kwa mfano engineering GPA ni 3.5 na kuendelea.Moja ya sababu ya wao kufeli ni kutokana na kutofanya vizuri csee hivyo wana uwezo mdogo.Kama sijakuelewa vizuri hivi Mkuu, inawezekanaje upate daraja la kwanza lakini ukasome stashahada na sio Shahada,
Hebu nielezee kidogo nikuelewe Mkuu.
🤔🤔🤔Najua tunatofautiana kimtazamo sisi kama wanadamu.Kusoma nitasoma ila kuna malengo nimejiwekea na ni muhimu kuyatimiza currently.Soma dogo achana na masuala ya Ajira pesa zitakunogea then utasahau kama Kuna shule
Kuanzia ufaulu gani wa Form Four unaenda moja kwa moja Diploma?Mkuu siku hizi hata wenye div1 form four wanaenda diploma.Haimaanishi utaishia diploma pekee ila tatizo wengi hushindwa kupata GPA Itakayomwezeshsha kuchukua shahada(bachelor degree) kwa mfano engineering GPA ni 3.5 na kuendelea.Moja ya sababu ya wao kufeli ni kutokana na kutofanya vizuri csee hivyo wana uwezo mdogo.
Mimi najua kuhusu dit.Kwakua pale wanatoa course za engineering wanahitaji C-tatu masomo ya fizikia,kemia na hisabati kama minimum qualification.Kuanzia ufaulu gani wa Form Four unaenda moja kwa moja Diploma?
Sawa bossMimi najua kuhusu dit.Kwakua pale wanatoa course za engineering wanahitaji C-tatu masomo ya fizikia,kemia na hisabati kama minimum qualification.
Electrical engineeringGood,DIT unaenda kusome kozi gani?
Shukrani mkuu.gud kijana mim 2017 nilipomaliza tu na div 3.24 nikaingia mtaan nikaanza kuwa wakala tigo pesa (niliajiriwa) then nikaenda kujifunza ufundi simu na computer kwa vile hom walikuwa choka mbaya nikaachana na chuo mpaka 2020 nikaingia veta kupiga msasa ujuz wang wa mtaani nashkuru mungu kidogo kinapatikana mpaka sasa
so bora ulivyojiongeza vijana wengine mnaotegemea elimu tu jifunzen kwa kijana mwenzetu hapa