Natafuta kazi, nina elimu ya kidato cha Sita

Natafuta kazi, nina elimu ya kidato cha Sita

Derickdeo21

Member
Joined
Oct 3, 2019
Posts
12
Reaction score
6
Habari za muda huu wana jamvi,

Nimekuja mbele yenu kuomba nafasi ya kazi au fursa kwa majina naitwa Aderick Deogratias. Nina umri wa miaka 23, naishi mkoa wa Dar es Salaam, Mbagala nina elimu ya kidato cha sita nimesoma masomo ya uchumi.

Nina uzoefu katika kazi zifuatazo, Supervisor, Sales & Marketing, Shopkeeper pia nimeshashiriki kuandaa tamasha kwa bahati mbaya lilifail katika hatua za mwishoni kufanyika lilikua linahusiana na masuala ya kiutamaduni lilifail kwa sababu za uchumi

Kwa mwenye nayo au mwenye connection naomba msaada wenu jamani pia ushauri, mapendekezo na maoni ni muhimu sana ahsante kwa mawasiliano zaidi nitafute 0684645109.

Mungu awalinde na kuwabariki sana wanajamvi wote wa ukurasa huu.
 
Back
Top Bottom