Natafuta kazi nina MSc ya Finance & Accounting from Mzumbe University...

tete'a'tete

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2010
Posts
472
Reaction score
64
Wana JF hope wote muu wazima, nimepewa hili ombi na ndugu yangu amemaliza chuo majuzi hapa sasa anatafuta kazi yeye ame specialize kwenye MSc Finance & accounting. anaomba msaada popote aweze pata kazi. namba yake ni 0786 302889 au 0754 302889. nawakilisha shukrani zake za dhati. Asanteni wakuu wa JF.
 
Graduate wa masterz afu huna job?
 

Fungua NBAA remedial class for ATEC
 

ndo tatizo la Masters za vodafasta inawezekana kichwan hakuna kitu kazungusha cv mpaka viatu vimepinda
 
Hizi Vodafasta....
kwanini hukufanya proffessional Exams za CPA ukakimbilia MSc?
Inabidi ufiche hicho Cheti cha MSc.. anza kuapply kazi kwa kutumia cheti cha first degree!
 
unaendaje masters bila ya kupata experience ya kazi kwanza? uzuri wa kuchukua masters uwe ndani ya kazi.
 
Jiajiri mwenyewe; kampuni nyingi za binafsi hazina "proper accounting system" fanya hiyo kazi ukipata kampuni ndogo tano zinatosha kukulipa. Kupata hizo kazi inategemea kichwani ukoje na siyo hadhi ya makaratasi uliyotunikiwa.

Nitembelee tushauriane Welcome to Facebook - Log In, Sign Up or Learn More
 
Mkuu sio kwamba vichwani hakuna kitu wewe kama una msaada saidia sio kuanza kusagia watu...huyu jamaa ni kichwa sana kwenye MSC F&A ana GPA 4.0 plz alikuwa na kazi sasa baada ya elim sasa anataka atafute kazi yenye kipaumbele zaidi...
 
Sorry nimewasiliana naye anasema jisajili na NBAA sasa ndio anatarajia kuisoma baada ya kumaliza hii MSC A&F.
 
Una 1[SUP]st[/SUP] class ya UDSM, Mzumbe, Sokoine, au Tumaini?
 
Usiwe na Haraka sana,nenda taratibu utapata tu kazi ya Level yako,fanya kwa bidii na Maarifa hapo ulipo ili Mungu akufungulie sehemu nyingine..Okeyyyy?!!1
 
una experience ya muda gani??

mara nyingi masters bila experience inakua taabu kweli kupata kazi!
 
tUNATAFUTA FINANCIAL CONTROLLER KAMA ANA QUALIFICATION AJE. AT LEAST 5 YEAR EXPERIENCE IN AVIATION INDUSTRY
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…