Renegade
JF-Expert Member
- Mar 18, 2009
- 7,221
- 6,940
hivi unategemea kila mtu atakuwa na exprience ya AVIATION INDUSTRY?tUNATAFUTA FINANCIAL CONTROLLER KAMA ANA QUALIFICATION AJE. AT LEAST 5 YEAR EXPERIENCE IN AVIATION INDUSTRY
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi unategemea kila mtu atakuwa na exprience ya AVIATION INDUSTRY?tUNATAFUTA FINANCIAL CONTROLLER KAMA ANA QUALIFICATION AJE. AT LEAST 5 YEAR EXPERIENCE IN AVIATION INDUSTRY
hivi unategemea kila mtu atakuwa na exprience ya AVIATION INDUSTRY?
Alie kuambia GPA ya 4 ni 1st Class ni nani!Masterz kwanza haina ujinga wa Class!1st class ya Mzumbe University...
wana jf hope wote muu wazima, nimepewa hili ombi na ndugu yangu amemaliza chuo majuzi hapa sasa anatafuta kazi yeye ame specialize kwenye msc finance & accounting. Anaomba msaada popote aweze pata kazi. Namba yake ni 0786 302889 au 0754 302889. Nawakilisha shukrani zake za dhati. Asanteni wakuu wa jf.
1st class ya Mzumbe University...
Wana JF hope wote muu wazima, nimepewa hili ombi na ndugu yangu amemaliza chuo majuzi hapa sasa anatafuta kazi yeye ame specialize kwenye MSc Finance & accounting. anaomba msaada popote aweze pata kazi. namba yake ni 0786 302889 au 0754 302889. nawakilisha shukrani zake za dhati. Asanteni wakuu wa JF.

Asanten sana kwa ushauri wenu naomba nijibu maswali yenu kama ifuatavyo.
Yupo kazini na amesoma akiwa kazini hivyo baada ya kumaliza hii elimu yake anatafuta kazi yenye matunda mazuri zaidi.
Pili sio kwamba alisoma kuunga unga ila nadhani mtu yeyote hapa ikitokea amepewa fund kwa ajili ya elimu ni kitu muhimu sana kwenye maisha yake soo nayo kupata Master ni jambo kubwa zaidi.
Kuhusu NBAA nimewaambie alishajiunga na anatarajia kuingia session ijayo if I'm not mistaken will start next year Jan 11.
hata hivyo ana mpango wa kujiunga na MSc ECONOMICS AND FINANCE FOR DEVELOPMENT
FOR 2011/2012 ACADEMIC YEAR inayotolewa na University of Bradford through Mzumbe University Dar...huyu jamaa anapenda shule sana...
Thanks all mabrroodaaaaaaaz and Sistaaaz wa humu JF.