Ntwa A. Katule
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 239
- 230
Ushauri wangu fungua account ya linked in weka details zako. Kule fanya subscribe kwenye kazi za data, data science ili upate alerts. Unaweza ukatafutaonline courses kama za Udemy ukajifunza machine learning pia maana ukiwa na statistics ni rahisi kuilewa. Usiache hiyo stats ikalala, maana tunaenda kwenye ulimwenu ambao data science na application yake kwenye machine learning ni hot cake.Habari wana jamvi. Mimi ni muhitimu wa Shahada ya pili katika Takwimu, natafuta kazi sehemu yoyote Tanzania.
Pia tumia links kama hizi kupata alerts za jobs