Natafuta kazi, nina uzoefu wa kazi ya ulinzi

Natafuta kazi, nina uzoefu wa kazi ya ulinzi

erick7

Member
Joined
Jun 22, 2015
Posts
5
Reaction score
8
Majina yangu kamili ni ERICK HURBERT SHAO elimu yangu form 4 hivyo najua kuhesabu kusoma na kuandika vizuri.

Mimi ni Gateman, kazi yangu ni ya kuanzia saa 11 jion hadi saa 6 usiku ninapumzika vizuri nipo Uyole, Mbeya naomba kama kuna fursa ya kazi yoyote ile ya kila siku naomba mnisaidie mimi ni muaminifu sana
 
Unaweza kutunza siri siku boss wako akiingiza mchepuko wake?
Pia unaweza kutunza siri siku mke wa boss wako akiletwa na mchepuko wake hadi getini?

Tusije kukupa kazi halafu ukaja kuandika Uzi huku JF
 
Unaweza kutunza siri siku boss wako akiingiza mchepuko wake?
Pia unaweza kutunza siri siku mke wa boss wako akiletwa na mchepuko wake hadi getini?

Tusije kukupa kazi halafu ukaja kuandika Uzi huku JF
Mm ni mkubwa na kaba nnayo ivyo cwez kuwa kiropo au kuropoka
 
Back
Top Bottom