Kuchimba nn mkuuJaribu za machimboni
akachimbe chumviKuchimba nn mkuu
Mm ni mkubwa na kaba nnayo ivyo cwez kuwa kiropo au kuropokaUnaweza kutunza siri siku boss wako akiingiza mchepuko wake?
Pia unaweza kutunza siri siku mke wa boss wako akiletwa na mchepuko wake hadi getini?
Tusije kukupa kazi halafu ukaja kuandika Uzi huku JF
Alinde geti la mbinguni? Atakuwa Lucifer.Kila la heri Mungu akupatie ajira
Inauma sanaUnaweza kukimbia na mifuko miwili ya cement kichwani Gizani😁