Dini gani?npo dar ukonga
Hasa ukiwakuta na ID za UDSM wanakuona wewe bonge la kilaza! UDSM ni mfano tu!Basi mtu ukiwa chuo unajiona mtu potensho kinyama
Niko Morogoro hapa mkuu.Uko wap?
Uko mbali sanaNiko Morogoro hapa mkuu.
Kwann mkuu, Dar mbona karibu sana hapo.Uko mbali sana
Ungempa hint ya unachofanya pengine ungemsaidia zaidi.Mtaaalam, kunywa mtori nyama ziko chini, mimi nilisoma medicine, nkikwambia nnachofabya sasa hv utabaki mdomo wazi lakn i wouldnt trade this for anythng.
Weka aibu pembeni, hyo laki 3 ukiwa smart n mtaji tosha, in 5 yrs utakua mtu tofaut kabisa
Hiyo level bado kwetu maana wasomi wanahitimu wakiwa wana uwezo wa kukariri badala ya kuelewa, making them completely useless kwenye innovations, ndo mana wanategemea ajira tu.Nchi nyingine wasomi wanaamua kufanya ujambazi wa kisomi baada ya kukosa ajira.
Siku moja nilikua kwenye ombwe Kama lako..Habarini Wana jf..... nimehitimu mwaka huu bachelor of science in chemistry lkn mpk sas sijapat ata sehem ya kujishikiza ata part time licha ya kuaapply internship sehem mbalimbali. natafuta kazi yoyote ata ya nje ya taaluma yangu.
kingine nina mtaji wa laki tatu msaada kwa mwenye wazo lolote la biashara inayolip ata kam faida ni ndogo π
Mi pia nimemaliza mwezi July, BSc. Nipo home nmetulia after a couple of interviews and applications.Habarini Wana jf..... nimehitimu mwaka huu bachelor of science in chemistry lkn mpk sas sijapat ata sehem ya kujishikiza ata part time licha ya kuaapply internship sehem mbalimbali. natafuta kazi yoyote ata ya nje ya taaluma yangu.
kingine nina mtaji wa laki tatu msaada kwa mwenye wazo lolote la biashara inayolip ata kam faida ni ndogo π
Mtu wa Chemistry.Habarini Wana jf..... nimehitimu mwaka huu bachelor of science in chemistry lkn mpk sas sijapat ata sehem ya kujishikiza ata part time licha ya kuaapply internship sehem mbalimbali. natafuta kazi yoyote ata ya nje ya taaluma yangu.
kingine nina mtaji wa laki tatu msaada kwa mwenye wazo lolote la biashara inayolip ata kam faida ni ndogo π
Ata, lkn, sas, sijapat, inayolip, kam... RUBBISH. Wewe huwezi kupata kazi kwa uandishi huu. Hata mtoto wa darasa la 3 kakuzidi. Endelea kumsaidia mama hapo nyumbani.Habarini Wana jf..... nimehitimu mwaka huu bachelor of science in chemistry lkn mpk sas sijapat ata sehem ya kujishikiza ata part time licha ya kuaapply internship sehem mbalimbali. natafuta kazi yoyote ata ya nje ya taaluma yangu.
kingine nina mtaji wa laki tatu msaada kwa mwenye wazo lolote la biashara inayolip ata kam faida ni ndogo π