Natafuta kazi taaluma yangu ni Bachelor of Science in Chemistry Nipo Tayari Kufanya Kazi Ndani au Nje ya Taaluma Yangu

Mtaaalam, kunywa mtori nyama ziko chini, mimi nilisoma medicine, nkikwambia nnachofabya sasa hv utabaki mdomo wazi lakn i wouldnt trade this for anythng.
Weka aibu pembeni, hyo laki 3 ukiwa smart n mtaji tosha, in 5 yrs utakua mtu tofaut kabisa
Ungempa hint ya unachofanya pengine ungemsaidia zaidi.
"Weka aibu pembeni" is the name of the game!
 
Habarini Wana jf..... nimehitimu mwaka huu bachelor of science in chemistry lkn mpk sas sijapat ata sehem ya kujishikiza ata part time licha ya kuaapply internship sehem mbalimbali. natafuta kazi yoyote ata ya nje ya taaluma yangu.
kingine nina mtaji wa laki tatu msaada kwa mwenye wazo lolote la biashara inayolip ata kam faida ni ndogo 🙏
Siku moja nilikua kwenye ombwe Kama lako..

Moyoni nimebeba watu nao wapenda na degree kichwani

Kwenye wimbo wa NIPE REPORT_ SPARK & TUNDA FT MADEE Kuna verse MADEE anasema ""JELA SIO JERAHA JIKAZE MTOTO WA KIUME KULIA LIA SIO KUZURI UTAKUFURU MSWALIE MTUME "" UNALALAMIKA MWAKA MMOJA WENZAKO 10 WAMEKAA""

Kikubwa usikate tamaa jichanganye pambana utapata TU connection na utasahau yoote
 
kijana acha kufuatilia maisha ya mtandaoni maana kila anayeweka picha huko ametabasamu . anza upya ndio maisha .!
 
Fungua tuition,upige pindi za Chemistry,ukifuata huu ushauri au ukipuuza UTANIKUMBUKA baadae
 
Habarini Wana jf..... nimehitimu mwaka huu bachelor of science in chemistry lkn mpk sas sijapat ata sehem ya kujishikiza ata part time licha ya kuaapply internship sehem mbalimbali. natafuta kazi yoyote ata ya nje ya taaluma yangu.
kingine nina mtaji wa laki tatu msaada kwa mwenye wazo lolote la biashara inayolip ata kam faida ni ndogo 🙏
Mi pia nimemaliza mwezi July, BSc. Nipo home nmetulia after a couple of interviews and applications.
 
Shida vijana weng bongo sio waaminifu na ni wavivu, na hawana ubunifu kabisa ndo maan inakuwa ngumu kupata connection hata km kuna kazi jirani na kwao.
 
Habarini Wana jf..... nimehitimu mwaka huu bachelor of science in chemistry lkn mpk sas sijapat ata sehem ya kujishikiza ata part time licha ya kuaapply internship sehem mbalimbali. natafuta kazi yoyote ata ya nje ya taaluma yangu.
kingine nina mtaji wa laki tatu msaada kwa mwenye wazo lolote la biashara inayolip ata kam faida ni ndogo 🙏
Mtu wa Chemistry.

Una laki 3.

Unashindwa hata kununua kemikali mbalimbali, ukazichanganya, ukatengeneza pombe kali ukatia kwenye chupa za maji na kuwauzia bodaboda?

We kaa hapo ukilia lia. Siwezi kukufundisha kila kitu!
 
Bachela of sayanzi kwenye Kemia unakuwa nani kwenye Bara hili la Afrika?
 
Habarini Wana jf..... nimehitimu mwaka huu bachelor of science in chemistry lkn mpk sas sijapat ata sehem ya kujishikiza ata part time licha ya kuaapply internship sehem mbalimbali. natafuta kazi yoyote ata ya nje ya taaluma yangu.
kingine nina mtaji wa laki tatu msaada kwa mwenye wazo lolote la biashara inayolip ata kam faida ni ndogo 🙏
Ata, lkn, sas, sijapat, inayolip, kam... RUBBISH. Wewe huwezi kupata kazi kwa uandishi huu. Hata mtoto wa darasa la 3 kakuzidi. Endelea kumsaidia mama hapo nyumbani.
 
Back
Top Bottom